Karia, TFF, CAF wamfanyia fitna Crispin Ngushi akatwa jina caf

Karia, TFF, CAF wamfanyia fitna Crispin Ngushi akatwa jina caf

Na wewe una amini kuwa TFF wanna nguvu ya kuiambia CAF mchezaji fulani mkate?
Au ndo Kama manara alivyosema yanga nzima wenye akili baba yake na kikwete.
Mana hata yeye HAJI MANARA AKILI HANA.tangu ahamie utopoloni
Tetea hoja kwa maelezo sahihi au ndiyo kuthibitisha kauli ya ADEN RAGE kuwa mashabiki wote wa MAKOLOKOLO FC ni MBUMBUMBU?
 
Motsepe mwenyewe na team yake ya mamelodi sundowns wanaihofia yanga, fitna ni kubwa sana mkuu kwa sasa motsepe anapiga collabo na karia kuiumiza yanga
 
Motsepe mwenyewe na team yake ya mamelodi sundowns wanaihofia yanga, fitna ni kubwa sana mkuu kwa sasa motsepe anapiga collabo na karia kuiumiza yanga
Na walivyokuwa akili hawana.wataamini CAF na TFF wanawahujumu.
 
Kweli yanga mwenye akili ni manara na kikwete sasa ngushi ana mchango gani kwa yanga mpaka afanyiwe fitna
 
Kweli yanga mwenye akili ni manara na kikwete sasa ngushi ana mchango gani kwa yanga mpaka afanyiwe fitna
nyota yake ilikuwa juu angewafikisha nusu fainali CAF ndiyo maana Motsepe na karia wame m target
 
Wakati fulani ni busara pia ukiamua kuacha kumkimbiza mwendawazimu aliyechukua nguo zako mtoni wakati unaoga.

Maana ukimkimbiza, wewe ndiye utakaye onekana mwendawazimu. Ufupi huyo Karia ni mtoto mdogo sana kwa Club kubwa Afrika ya Mashariki na Kati, kama Yanga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amekuliza tena, poleeeeeeh
 
Itajulikana tu, Yanga ni kubwa kuliko Karia.
Kuifanya kauli yako iwe real basi huyo crispin mumuorodheshe katika list ya wachezaji wenu watakao shiriki michuano hiyo

Afu na yule Kisinda naye kivipi leo hata benchi hakuwepo?

Hakuwepo kwasbabu mnatii sheria, mna tii sheria kwasababu mko chini ya TFF

Mnachofanya mkaona ni illegal ila mmeachwa msifikiri ni ujanja wenu waviongozi, sometimes ni huruma tu
 
Tetea hoja kwa maelezo sahihi au ndiyo kuthibitisha kauli ya ADEN RAGE kuwa mashabiki wote wa MAKOLOKOLO FC ni MBUMBUMBU?
Kwani uongo kuwa hamlalamiki?

Na tena bora mngekuwa mnayafanya hayo freely kwa utashi wenu wa kuchanganua mambo, ila hili la kumsubiria Manara anasemaje ndio na nyie mseme imeonesha jinsi gani hakukosea kwenye ile kauli yake.
 
Wakati fulani ni busara pia ukiamua kuacha kumkimbiza mwendawazimu aliyechukua nguo zako mtoni wakati unaoga.

Maana ukimkimbiza, wewe ndiye utakaye onekana mwendawazimu. Ufupi huyo Karia ni mtoto mdogo sana kwa Club kubwa Afrika ya Mashariki na Kati, kama Yanga.
Karia ni mtoto kwa Club kama Yanga ila Manara ni mkubwa sana kuliko Yanga maana ana influence ya kukufanya wewe uone TFF chini ya Karia inavisa na Yanga.
 
Kila lawama sasa anatupiwa Karia.....huku ni kujiliza
 
Kwa picha hii ni kwamba caf wanatambua usajiri wa Tuisila.
We ndio haupo hata katika nafasi ya kupatia

Dirisha la CAF lilifungwa muda kabla ya TFF, ili Tuisila Kisinda awe recognized kwanza waliweka faini ya dola 5,000 kwa Cubs ambazo zitasajili siku 10 baada ya dirisha la CAF kufungwa

Na huyo mchezaji lazima awe na leseni ya shirikisho, Kwa maana hiyo Tuisila kapotezewa muda wake bure.

Hayupo kimataifa hata michuano ya ndani nayo hatoshiriki. Angekuwa mjanja kama Morrison saizi angekuwa anaongea na mawakili wake waifungulie kesi Yanga
 
Hivi Jamani ni Lini Wenye Akili Wataongezeka huko Yanga wakawa Zaidi' Ya Wawili.....?
Aliongezeka mmoja juzi, nikamsifia leo katoroka karudi kundini kawafate wenzie uoweke umemshinda huku wapo wazee tu sa atapiga stori na nani
 
Back
Top Bottom