mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Tetea hoja kwa maelezo sahihi au ndiyo kuthibitisha kauli ya ADEN RAGE kuwa mashabiki wote wa MAKOLOKOLO FC ni MBUMBUMBU?
Motsepe mwenyewe na team yake ya mamelodi sundowns wanaihofia yanga, fitna ni kubwa sana mkuu kwa sasa motsepe anapiga collabo na karia kuiumiza yangaNa wewe una amini kuwa TFF wanna nguvu ya kuiambia CAF mchezaji fulani mkate?
Au ndo Kama manara alivyosema yanga nzima wenye akili baba yake na kikwete.
Mana hata yeye HAJI MANARA AKILI HANA.tangu ahamie utopoloni
Na walivyokuwa akili hawana.wataamini CAF na TFF wanawahujumu.Motsepe mwenyewe na team yake ya mamelodi sundowns wanaihofia yanga, fitna ni kubwa sana mkuu kwa sasa motsepe anapiga collabo na karia kuiumiza yanga
nyota yake ilikuwa juu angewafikisha nusu fainali CAF ndiyo maana Motsepe na karia wame m targetKweli yanga mwenye akili ni manara na kikwete sasa ngushi ana mchango gani kwa yanga mpaka afanyiwe fitna
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amekuliza tena, poleeeeeehWakati fulani ni busara pia ukiamua kuacha kumkimbiza mwendawazimu aliyechukua nguo zako mtoni wakati unaoga.
Maana ukimkimbiza, wewe ndiye utakaye onekana mwendawazimu. Ufupi huyo Karia ni mtoto mdogo sana kwa Club kubwa Afrika ya Mashariki na Kati, kama Yanga.
Kuifanya kauli yako iwe real basi huyo crispin mumuorodheshe katika list ya wachezaji wenu watakao shiriki michuano hiyoItajulikana tu, Yanga ni kubwa kuliko Karia.
Kwani uongo kuwa hamlalamiki?Tetea hoja kwa maelezo sahihi au ndiyo kuthibitisha kauli ya ADEN RAGE kuwa mashabiki wote wa MAKOLOKOLO FC ni MBUMBUMBU?
Karia ni mtoto kwa Club kama Yanga ila Manara ni mkubwa sana kuliko Yanga maana ana influence ya kukufanya wewe uone TFF chini ya Karia inavisa na Yanga.Wakati fulani ni busara pia ukiamua kuacha kumkimbiza mwendawazimu aliyechukua nguo zako mtoni wakati unaoga.
Maana ukimkimbiza, wewe ndiye utakaye onekana mwendawazimu. Ufupi huyo Karia ni mtoto mdogo sana kwa Club kubwa Afrika ya Mashariki na Kati, kama Yanga.
We ndio haupo hata katika nafasi ya kupatiaKwa picha hii ni kwamba caf wanatambua usajiri wa Tuisila.
Aliongezeka mmoja juzi, nikamsifia leo katoroka karudi kundini kawafate wenzie uoweke umemshinda huku wapo wazee tu sa atapiga stori na naniHivi Jamani ni Lini Wenye Akili Wataongezeka huko Yanga wakawa Zaidi' Ya Wawili.....?