Karia umeyaona Matokeo ya Endowsoments, Acha kulia hatwendi uwanjani NG'OO


 
Maombi yangu kwa taifa stars ifungwe sijui kwann Mungu hayasikii.
 
 
Kwa aliyofanya Karia alipashwa kupewa kipindi kingine kuongoza ila achuguliwe bila hizi figisu anazofanya.hii imemuondolea uhalali wa kuongoza nadhani pia hii ameiga kwa Mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…