njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Picha linaanza jana habari zilitoka kwamba fainali ya super cup kati ya berkane na wydad itafanyika dar es salaam lakini baada ya CAF kupata habari kwamba kipenzi cha wapenda soka afrika kinataka kufungiwa na Karia wakageuza kibao sasa mechi hiyo itapigwa moroko
Hilo ni onyo ukimgusa tu gwiji hilo lenye degree 2 za south africa na china umekwisha,Motsepe atahamisha hata huo mkutano wa CAf unaotakiwa kufanyika Arusha
Kwanza waliokuwa pale karibu wanasema mlikuwa mnabishana kama Ronaldo abaki man utd au aende zake ,ole wako umguse genius wa soka la bongo , wananchi watashuka na wewe jumlajumla kawapa makombe baada ya miaka 4 na sasa anaenda kuwapa la Africa halafu unataka wewe umsimamishe?
Si uliona kwenye clip mwanasheria wa yanga alikuwa anampigia makofi ? kisheria wanajua huwafanyi lolote,THUBUUTU UONE
Gwiji HILI...... CCM DSM walilitibua wakalisingizia kwamba lilikodisha magari ya kutosha likafoji kadi na kuuza kisha likaenda kula bata dubai
Gwiji kwa kudra ya mwenyezi Mungu Allah likashinda kesi na ccm dsm walipata sana shida uchaguzi wa 2015 kutoka kwa ukawa hadi wakalikumbuka gwiji kwamba kama bado lingekuwa katibu mwenezi wapinzani wasingefanya kitu
Mo dewji, Barbra,january makamba, prisac kishamba, kitenge, jemedari,dauda ,malinzi wote hawa waliingia anga za gwiji wakapigwa knockout kali , shauri zako Motsepe anakuchora tu jinsi unavyomsumbua gwiji wa soka barani afrika mwenye baraka za ALLAH
NARUDI TENA OLE WAKO KARIA UMFUNGIE GWIJI SANASANA LIPIGE FAINI TU GWIJI BADO LINA MISSION YA KULETA KOMBE LA AFRIKA