Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Karia maneno yamekuwa mengi sana embu fanyeni kweli basi maana kuna kitimu kimesema wamekosa ubingwa kwa sababu ya waamuzi
================
RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, amesema shirikisho lina mpango wa kuanzisha mfumo wa Video Support (VS) ili kuwasaidia waamuzi na kuboresha uamuzi wa mechi za soka nchini.
Karia amesema tayari TFF imeziandikia barua FIFA na CAF kuomba ruhusa na kufuata taratibu za kuanza kutumia mfumo huo.
Soma Pia:

- VAR kutumika msimu wa 2024/25 ligi kuu ya NBC
- Mwigulu Nchemba: Tutaanza kutumia VAR msimu ujao ili kupunguza matukio yenye utata