Kasri Homes Tz
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 501
- 694
• Direction: Uhuru Road/China Plaza
• Facilities: 4 bedrooms, 3 washrooms
• Floor Area: 180 sqm
• Document: Title deed
• Price: TSH 150 million
• Viewing charge: TSH 30,000
.
✓ Imetazama Uhuru Road
✓ Ipo floor ya 9
✓ Lift yenye inverter ipo
✓ Vyumba viwili self & viwili vya kawaida, public washroom, sebule, jiko na balkoni zenye grili
✓ Ina finishing ya malumalu sakafuni, feni za juu na makabati jikoni
✓ Inauzwa bila samani za ndani (unfurnished)
✓ Hakuna parking ila kuna eneo maalum la parking ya kulipia jirani
.
• In Real Estate We Connect
☎💬 +255767157788
• Jiunge nasi Facebook, Instagram, X na Telegram: BongoLocate View attachment 3096672View attachment 3096673View attachment 3096674View attachment 3096675View attachment 3096676View attachment 3096678View attachment 3096679View attachment 3096680View attachment 3096681
Hivi ukinunua apartment inakuwa yako kwa muda gani, na vipi ghorofa ikivunjwa?• Direction: Uhuru Road/China Plaza
• Facilities: 4 bedrooms, 3 washrooms
• Floor Area: 180 sqm
• Document: Title deed
• Price: TSH 150 million
• Viewing charge: TSH 30,000
.
✓ Imetazama Uhuru Road
✓ Ipo floor ya 9
✓ Lift yenye inverter ipo
✓ Vyumba viwili self & viwili vya kawaida, public washroom, sebule, jiko na balkoni zenye grili
✓ Ina finishing ya malumalu sakafuni, feni za juu na makabati jikoni
✓ Inauzwa bila samani za ndani (unfurnished)
✓ Hakuna parking ila kuna eneo maalum la parking ya kulipia jirani
.
• In Real Estate We Connect
☎💬 +255767157788
• Jiunge nasi Facebook, Instagram, X na Telegram: BongoLocate View attachment 3096672View attachment 3096673View attachment 3096674View attachment 3096675View attachment 3096676View attachment 3096678View attachment 3096679View attachment 3096680View attachment 3096681
ukijibiwa niiteHivi ukinunua apartment inakuwa yako kwa muda gani, na vipi ghorofa ikivunjwa?
Ngoja tusubiriukijibiwa niite
UtangojaNgoja tusubiri
Ukimaliza kusoma gazeti niazime na mieNgoja tusubiri
Inakuwa yako kwa muda wote mpaka utakapoigawa bure au kwa pesa…Hivi ukinunua apartment inakuwa yako kwa muda gani, na vipi ghorofa ikivunjwa?
MwachiluwiInakuwa yako kwa muda wote mpaka utakapoigawa bure au kwa pesa…
Inategemea na sababu ya kuvunjwa. Wote wanaomiliki apartment kwenye jengo hilo lazima washirikishwe. Kwa mfano ametokea developer anataka kujenga jengo la kisasa zaidi, wenye apartment watapisha, ujenzi ukikamilika watagawiwa apartment zao.
Kama kuna mabadiliko ya matumizi basi wenye apartment watalipwa stahiki zao
Naomba kuelimishwa juu ya ununuzi wa appartments viwanja vinasomekaje• Direction: Uhuru Road/China Plaza
• Facilities: 4 bedrooms, 3 washrooms
• Floor Area: 180 sqm
• Document: Title deed
• Price: TSH 150 million
• Viewing charge: TSH 30,000
.
✓ Imetazama Uhuru Road
✓ Ipo floor ya 9
✓ Lift yenye inverter ipo
✓ Vyumba viwili self & viwili vya kawaida, public washroom, sebule, jiko na balkoni zenye grili
✓ Ina finishing ya malumalu sakafuni, feni za juu na makabati jikoni
✓ Inauzwa bila samani za ndani (unfurnished)
✓ Hakuna parking ila kuna eneo maalum la parking ya kulipia jirani
.
• In Real Estate We Connect
☎💬 +255767157788
• Jiunge nasi Facebook, Instagram, X na Telegram: BongoLocate View attachment 3096672View attachment 3096673View attachment 3096674View attachment 3096675View attachment 3096676View attachment 3096678View attachment 3096679View attachment 3096680View attachment 3096681
Hata ukiwa na nyumba yako, bills ziko palepaleShida ya hizi appointment za maghorofani ni kama unakuwa mpangaji tu maana utilities bills ni kila mwezi
Alisikika ZEE LA UONGONikipata mapenzi JF ningemnunulia kama hiyo 😅😅
Aprtments ya ghorofa ni kama kijiji.zile ni kaya nyingi sana zilizopo mahali pamoja.kinakuwa ni kijiji chenye ustarabu flan hiv kwa sababu pako organised maswala ya ulinzi,usafi ,umeme,maji na mambo yoyote ya kijamii.na kuna mtu yuko responsible a kwa kila kaya kulipa ada ya mwezi. Sema tu huwezi kuwa na ile privacy kama unayokuwa nayo ukiwa ktk nyumba yako ya peke yako kwenye fenceShida ya hizi appointment za maghorofani ni kama unakuwa mpangaji tu maana utilities bills ni kila mwezi
Yes!Shida ya hizi appointment za maghorofani ni kama unakuwa mpangaji tu maana utilities bills ni kila mwezi
Natamani kuwafundisha Sheria ya ardhi haswa kwenye joint and common occupier, unit of tittles and subtitles ila macho hayaruhusu kukaa kwa simu muda mrefuNaomba kuelimishwa juu ya ununuzi wa appartments viwanja vinasomekaje
Huwezi kunifungia geti langu nisipite ati kwa kuwa sijalipa bill za kuzoa taka, kwenye hayo ma apartment ya maghorofani wanaweza kukuzuia kuingia nyumbani kwako tu kwasababu hujalipa bill za matengenezo ya lift.Hata ukiwa na nyumba yako, bills ziko palepale
Kumbe, basi hatari.Huwezi kunifungia geti langu nisipite ati kwa kuwa sijalipa bill za kuzoa taka, kwenye hayo ma apartment ya maghorofani wanaweza kukuzuia kuingia nyumbani kwako tu kwasababu hujalipa bill za matengenezo ya lift.
Sheria yetu ya ardhi inatambua unit title kwahiyo kila mwenye apartment anakuwa na hati yakeNaomba kuelimishwa juu ya ununuzi wa appartments viwanja vinasomekaje