House4Sale Kariakoo: 4 Bdrm Apartment For Sale - Dar

House4Sale Kariakoo: 4 Bdrm Apartment For Sale - Dar

Yes!
Sababu utahitaji huduma kama ulinzi, ukusanyaji taka (maana huna eneo la kutupa taka unazozalisha kwenye apartment yako), msafisha ngazi na mazigira ya jengo, lift (kwa majengo ya ghorofa 6 na kuendelea).
Kwa maghorofa makubwa (viwanja viwili) na marefu, tozo ya mwezi hutumika sana kwenye umeme wa lift pia jenereta kipindi cha adha ya umeme na hivyo kufanya majengo haya kuwa na gharama sana mpaka kufikia $ 200 kwa mwezi
Hata ukiwa kwenye nyumba ya peke yako hizo gharama utalipia
 
Huwezi kunifungia geti langu nisipite ati kwa kuwa sijalipa bill za kuzoa taka, kwenye hayo ma apartment ya maghorofani wanaweza kukuzuia kuingia nyumbani kwako tu kwasababu hujalipa bill za matengenezo ya lift.
Hakuna wa kukuzuia kuingia kwako kwa sababu ya kutokulipa tozo ya huduma.
Kitakachofanyika ni kukusitishia huduma husika au kupelekwa mahakamani.
Kwa mfano tozo la taka ngumu wanakusanya almashauri au manispaa; maji safi na maji taka wakusanyaji pia ni taasisi ya serikali. Hawa wanaweza kukupeleka mahakamani ukiwa mdaiwa sugu.
Kuhusu lift manager wa jengo anaweza kukunyima huduma hiyo ikiwa huchangii.
Kwa mfano kuna baadhi wanaoishi ghorofa ya kwanza huwa wanajiondoa kwenye utumiaji lift hivyo huwa inazuiwa (locked) kusimama ghorofa ya kwanza
 
Aprtments ya ghorofa ni kama kijiji.zile ni kaya nyingi sana zilizopo mahali pamoja.kinakuwa ni kijiji chenye ustarabu flan hiv kwa sababu pako organised maswala ya ulinzi,usafi ,umeme,maji na mambo yoyote ya kijamii.na kuna mtu yuko responsible a kwa kila kaya kulipa ada ya mwezi. Sema tu huwezi kuwa na ile privacy kama unayokuwa nayo ukiwa ktk nyumba yako ya peke yako kwenye fence
Matajiri wengi wanapenda sana apartment za hivyo maana huwezi kumjua maisha yake
Asubuhi mnashuka nae wala hujui anaenda wapi na yeye hajui wewe ni nani
Salaam tosha
Usalama kama wote na ni changanyikeni
Natafuta sana za hivi unakaa kwa amani sana
 
Huwezi kunifungia geti langu nisipite ati kwa kuwa sijalipa bill za kuzoa taka, kwenye hayo ma apartment ya maghorofani wanaweza kukuzuia kuingia nyumbani kwako tu kwasababu hujalipa bill za matengenezo ya lift.
Hakun kitu kama hiko
 
• Direction: Uhuru Road/China Plaza
• Facilities: 4 bedrooms, 3 washrooms
• Floor Area: 180 sqm
• Document: Title deed
• Price: TSH 150 million
• Viewing charge: TSH 30,000
.
✓ Imetazama Uhuru Road
✓ Ipo floor ya 9
✓ Lift yenye inverter ipo
✓ Vyumba viwili self & viwili vya kawaida, public washroom, sebule, jiko na balkoni zenye grili
✓ Ina finishing ya malumalu sakafuni, feni za juu na makabati jikoni
✓ Inauzwa bila samani za ndani (unfurnished)
✓ Hakuna parking ila kuna eneo maalum la parking ya kulipia jirani
.
• In Real Estate We Connect
☎💬 +255767157788
• Jiunge nasi Facebook, Instagram, X na Telegram: BongoLocate View attachment 3096672View attachment 3096673View attachment 3096674View attachment 3096675View attachment 3096676View attachment 3096678View attachment 3096679View attachment 3096680View attachment 3096681
Hii bado ipo sokoni?Na punguzo la bei lipo?
 
Inakuwa yako kwa muda wote mpaka utakapoigawa bure au kwa pesa…
Inategemea na sababu ya kuvunjwa. Wote wanaomiliki apartment kwenye jengo hilo lazima washirikishwe. Kwa mfano ametokea developer anataka kujenga jengo la kisasa zaidi, wenye apartment watapisha, ujenzi ukikamilika watagawiwa apartment zao.
Kama kuna mabadiliko ya matumizi basi wenye apartment watalipwa stahiki zao
Kama nataka niivunjevunje apartment yangu iliyoko floor ya 9 siitaki tena, je alie juu yangu floor ya 10 ana haki ya kunizuia?
 
Kama nataka niivunjevunje apartment yangu iliyoko floor ya 9 siitaki tena, je alie juu yangu floor ya 10 ana haki ya kunizuia?
Hayo maghorofa hauvunji kama tunavyovunja nyumba za chini. Kila maboresho ya jengo lazima yapate kibali kutoka mamlaka husika za serikali kama TBA, CRB, n.k
Hivyo ukitaka kuvunja pia lazima uombe kibali kwenye mamlaka hizo. Kama watakupatia, basi we vunja tu.
 
Inakuwa yako kwa muda wote mpaka utakapoigawa bure au kwa pesa…
Inategemea na sababu ya kuvunjwa. Wote wanaomiliki apartment kwenye jengo hilo lazima washirikishwe. Kwa mfano ametokea developer anataka kujenga jengo la kisasa zaidi, wenye apartment watapisha, ujenzi ukikamilika watagawiwa apartment zao.
Kama kuna mabadiliko ya matumizi basi wenye apartment watalipwa stahiki zao
Bado lipo eneo nikucheki fasta
 
Back
Top Bottom