Kariakoo Derby Jumapili 12th July 2020: Yanga inaenda kujitoa muhanga tu, uwezo hawana

Nikiona mtu mzima anahangaika na mpira wa simba na yanga huwa namdharau sana anyway Yanga atafu gwa ata goals 5
 
Nikiona mtu mzima anahangaika na mpira wa simba na yanga huwa namdharau sana anyway Yanga atafu gwa ata goals 5
hawa ndo wapuuzi wa kujitakia. kila mtu na mapenzi yake na anazo sababu za kupenda. ila sikushangai ni kama wazee wengine tu wanavyomdharau mzee wako kuhangaika na mama yako
 
Kiujumla kimchezo yoyote anaweza kufungwa.

Kwa kiwango cha uchezaji, simba na yanga hawatofautiani sana.
 
Yanga bado sana, hawana safu nzuri ya ushambuliaji. Usajili wao waga ni mbovu sana. Viongozi wao wanahusika na hili na inaonekana wao wako kimaslahi zaidi.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Yametimia
 
MIMI KAMA MDAU WA SOKA LA HAPA TZ NNA MAONI YAFUATAYO

Yanga wakiwa na pesa ya kutosha kuwekeza nje ya uwanja simba kupata matokeo huwa ni ngumu sana,naona kabisa dalili za mnyama kufa tena.

Ukweli mchungu
Nakusalimia mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…