Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawa ndo wapuuzi wa kujitakia. kila mtu na mapenzi yake na anazo sababu za kupenda. ila sikushangai ni kama wazee wengine tu wanavyomdharau mzee wako kuhangaika na mama yakoNikiona mtu mzima anahangaika na mpira wa simba na yanga huwa namdharau sana anyway Yanga atafu gwa ata goals 5
Tofauti ipo mzee,tazama msimamo ligi. Pointi,magoli simba iliyofunga,iliyofungwa..Kiujumla kimchezo yoyote anaweza kufungwa.
Kwa kiwango cha uchezaji, simba na yanga hawatofautiani sana.
Simba 1 Wao OTofauti ipo mzee,tazama msimamo ligi. Pointi,magoli simba iliyofunga,iliyofungwa..
Waulize pia Azam wakupe rekodi za umiliki wa mpira kwa timu zote.
Achana nae huyo, yanakuaga mapunga mostly.hawa ndo wapuuzi wa kujitakia. kila mtu na mapenzi yake na anazo sababu za kupenda. ila sikushangai ni kama wazee wengine tu wanavyomdharau mzee wako kuhangaika na mama yako
Labda kama utani. Simba ni timu ya kawaida sana,inachapwa mapema tu.
Nawaambia leo ndo mtaona Yanga ni timu mbovu sana,utopolo hatutaki mje na visingizio ,mpira ni dk 90,ukiisha msituletee visingizio sijui refa kafanyaje,sijui tff ,sijui kuwekewa sumu,hatutaki malalamiko ya kipuuzi ,hakikisheni kila kitu kabla ya mchezo
Yametimia
WE FALA KWELINikiona mtu mzima anahangaika na mpira wa simba na yanga huwa namdharau sana anyway Yanga atafu gwa ata goals 5
Nakusalimia mkuuMIMI KAMA MDAU WA SOKA LA HAPA TZ NNA MAONI YAFUATAYO
Yanga wakiwa na pesa ya kutosha kuwekeza nje ya uwanja simba kupata matokeo huwa ni ngumu sana,naona kabisa dalili za mnyama kufa tena.
Ukweli mchungu
Uwe na jioni njemaaLabda kama utani. Simba ni timu ya kawaida sana,inachapwa mapema tu.