Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

Mpwa nakuelewa sana😄😄
 
Unafungaje refa akipiga filimbi,ile ilikuwa clear chance maana golini kuna pazia........
Bro asante kwa maelezo , maana sikufuatilia mechi kwenye tv wala redioni . Aidha refa alipendelea jamaa wa kupulizia dawa ya usingizi au labda tuseme pambano lilikuwa juu ya uwezo wake
 
haya mambo peleka facebook sio JF Watanzania kwa imani za kishirikina kwenye kila kitu ndio maana hatupigi hatua iwe siasa na hata mpira

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu Unakuta Watu Wengi Sana Wanabishana Wakati Hata Hatua Hatupigi Kwaajili Ya Huu Ujinga.
Hata Aje Kocha Gani Shida Ni Sisi Wenyewe Tunaamini Yasiyoweza Kutusaidia Popote Na Kwa Lolote Lile
 
Makame mtoto wa Msimbazi achunguzwe..goli zote mbili za mikia makosa yake
 
Unakuta kuna mjinga kaweka t*ko kwake anakwambia sisi sio wakudroo na Yanga wakati Kagere kakaza t*ko uwanjani bado kashindwa, ameomba sub coz mziki ni mnene.[emoji16][emoji3][emoji3][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…