KARIAKOO DERBY: Simba SC yatakata kwa kuirarua Yanga SC goli 1-0, Uwanja wa Taifa-Dar

KARIAKOO DERBY: Simba SC yatakata kwa kuirarua Yanga SC goli 1-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Washabiki Wa Simba Muda Huu

IMG_20180121_204822.jpg
 
Mpira wa Simba na Yanga ukisikia wakitambiana kwenye media hasa magazeti na redio unaweza ukasema mechi hiyo inafanana ubora na El clasico.

Kwa maneno mengine ni mechi ya nje ya uwanja zaidi, ndani ya uwanja ni hovyo tupu. Leo Simba kashinda lakini hakuna mipango wala ubora wa mechi toka kwa pande zote mbili.

All in all hongereni Simba, mwaka huu ubingwa wetu!!

This is Simba!!!!
 
Back
Top Bottom