Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
MhUsiogope wala nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MhUsiogope wala nini
Aaah naona hunipi sapoti babe hata ya kunifuta jashoo[emoji28]babe mbona kimya?[emoji28][emoji23][emoji23]
Huyo nitafutie nilibet nae namdai mahela yangu sijui kajificha wapiGitaa mpe joseverest plz
Najua najua fatilia madeni kwanza kukale mvinyoUone nini jamani sio yeye
Nimekusamehe mkuu siku nyingine usirudie nitakushtakisorry mkuu kumbe we na okwi blood blood nimekumix na shosti yako m1 ambaye yeye ni yebo
Hahahhaa yupo hapa anamalizia balimi ya 12...Huyo nitafutie nilibet nae namdai mahela yangu sijui kajificha wapi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babe wako anakuacha upambane na hali yakoAaah naona hunipi sapoti babe hata ya kunifuta jashoo[emoji28]
Niko nafatilia Jose sijui yupo api jamaniNajua najua fatilia madeni kwanza kukale mvinyo
Woiiiii mwambie anitumie elf 50 yangu jamaniHahahhaa yupo hapa anamalizia balimi ya 12...
Af unaongezea weeeeeeraaaaaaweeeeraaaaKuna wewe ya ubabe halafu kuna ile wewe ya Simba kuifunga Yanga yani ni weweeeeeee..........
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbona leo ntakoma mm,...na hivi usiku mrefu yeuwiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babe wako anakuacha upambane na hali yako
Kwa hiyo mmekojolewa na chupi yenu?Utakojoaje huku umevaa chupi bwanaa...
Asinywe sumu tuMwacheni jose kwanza hasira ziishe
nakuja babe....kwanza wamependelewa hao [emoji1][emoji1]Aaah naona hunipi sapoti babe hata ya kunifuta jashoo[emoji28]
shunie atukubet Leo ?nikachote mpunga Tigo Pesa?Huyo nitafutie nilibet nae namdai mahela yangu sijui kajificha wapi
We jifanye huelewi tuu,nyo[emoji23]Kwa hiyo mmekojolewa na chupi yenu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]afu ka bao la mkono hiviii...nakuja babe....kwanza wamependelewa hao [emoji1][emoji1]
Huyu JoseView attachment 760626mitaa ya Jangwani hali ndio kama mlivyosikia