Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Aaaah thuuuubutuSimba anaolewa bila shela leo....
mkuu jua hii ni derby na wa2 tunafatilia hapa, tutaanguka kwa presha hku. roho mkononi ohoooGoaaaaaaaaaaaaaaaaal
Umeona eeh!!Watu 6 wanamkaba okwi peke ake
Nakuambia mrembo....unisaidie tuu kumpaka mekapAaaah thuuuubutu
ko una maana watu 4 wa simba hawakabwi na wako free ila hawaelewi wanafanya nini uwanjaniWatu 6 wanamkaba okwi peke ake
Kama ulivyoolewa wewe usiku wa kuamkia leoSimba anaolewa bila shela leo....
ApiaaWatu 6 wanamkaba okwi peke ake
hahahaha anapgilia msumari kwamba timu nzima okwi tu ndo anajielewako una maana watu 4 wa simba hawakabwi na wako free ila hawaelewi wanafanya nini uwanjani
Kama kawaidaa wazee wa international sieee....[emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe nawe ni shabiki wa wakimataifa eeeh
Kabisa ni jinsi gani wanamuogopa,sio kwa kurundikana ukoUmeona eeh!!
Mpira dk 90 mafuriko fc mnaongea mnoNakuambia mrembo....unisaidie tuu kumpaka mekap