KARIAKOO DERBY: Simba SC yatakata kwa kuirarua Yanga SC goli 1-0, Uwanja wa Taifa-Dar

KARIAKOO DERBY: Simba SC yatakata kwa kuirarua Yanga SC goli 1-0, Uwanja wa Taifa-Dar

SiMBA WAMEJITAHIDI WAMECHEZA MPIRA WA KUFUNDISHWA NDUGUZANGUNI HAKUNA JINSI LEOO DRW AIPO WAULIZE .ZNZ NA JIRAN YAAN ANALIA MTU NANI SIJUII..2-1
 
kwa macho yangu nimeona Simba wamezidi uwanjani haki ya nani wapo 13 angalia hata hili goli walivyolifunga tunampango wa kukata rufaa hii haiwezekani hizi ni hujuma kabisa mashabiki wenzangu wa madimbwini a.k.a Vyura fc tusikubali tukateni rufaa halafu tumwambie yule mfadhili wetu Mzee Akilimali vipi leo ajawahonga hawa Marefarii?
 
Vijana wakaze .....match bado mbichi hii.....Second half simba wanaweza kufungika tuuu
 
Back
Top Bottom