A d o l f
Member
- Oct 16, 2018
- 48
- 187
Hii ni Derby kubwa Afrika Mashariki na Kati, na ni Derby ya nne kwa ukubwa barani Afrika, ambapo inakutanisha miamba miwili kutoka Dar es Salaam, mitaa ya Twiga na Jangwani na Msimbazi ambapo mitaa yote ikiwa ni ya Kariakoo.
Kwenye mechi 5 za mwisho walizokutana kwenye ligi Yanga alishinda mara 2, sare 3 na Simba haijawahi kushinda. Hii ni kwa takwimu za mechi za ligi. Lakini Yanga ameonekana akimfunga sana Simba kwenye mashindano mbalimbali kama FA na Ngao ya Jamii.
Je, Simba atakata uteja? 23/10/2022 11:00 Benjamin Mkapa Stadium itajulikana nani ni nani.