mugah di matheo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 6,307 Reaction score 12,410 Oct 29, 2023 #1 Ilikua zikutane leo Simba U20 na Yanga U20 Ila Simba wamegoma kuingia uwanjani kutokana na Yanga kutumia wachezaji ambao hawakusajiliwa. Nisikuchoshe kiufupi Yanga hawana mchezaji waliemsajili kutumikia u20 kwa msimu huu.
Ilikua zikutane leo Simba U20 na Yanga U20 Ila Simba wamegoma kuingia uwanjani kutokana na Yanga kutumia wachezaji ambao hawakusajiliwa. Nisikuchoshe kiufupi Yanga hawana mchezaji waliemsajili kutumikia u20 kwa msimu huu.
mugah di matheo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 6,307 Reaction score 12,410 Oct 29, 2023 Thread starter #2 shadrackAmri said: so what? Click to expand... Nmeleta taarfa tu