Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Watu wanahasira sana, yani jamaa kaamua kumtolea panga mwezie kisa kaingilia njia isiyokuwa yake!
================
Katika hali isiyokuwa ya kawaida madereva wawili eneo la Kariakoo mtaa wa Sikukuu, jijini Dar es Salaam, wamejikuta katika mzozo mkali wakigombea njia, huku mmoja kati yao akichukua panga na kumtishia kumcharanga mwenzake.