Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Hapana si vyema kuchinjana kabisaWachinjane tu
Ni nyakati...
Milembe Wahakikishe Wana Matawi Kila KonaAfya ya akili .......
Ccm imefanya maisha kuwa mabovu sana. Watu wengi Wana shida katika kufanya maamuzi ya busara! Afya ya akili!Wachinjane tu
Ni nyakati...
Hakika,pesa imekuwa ya shida sana kuipataCcm imefanya maisha kuwa mabovu sana. Watu wengi Wana shida katika kufanya maamuzi ya busara! Afya ya akili!
No wayHapana si vyema kuchinjana kabisa
Kama mafisadi na wezi hawachukuliwi hatua za kisheria unategemea hizo pesa mtaani zitatoka wapi?Hakika,pesa imekuwa ya shida sana kuipata
Acha hizi mambo dada mrembo waachie watu wa Kaskazini nataka kupita Mbeya karibuni unabariki kuchinjana...Wachinjane tu
Ni nyakati...