Mbezi itabakia kuwa Mbezi na Kariakoo itabakia kuwa Kariakoo.
Hiki ni kichekesho. Yaani jengo moja linachukua nafasi ya kitongoji chote kinachoitwa kariakoo?Sawa. Kariakoo itabakia majengo. Mbezi itabakia kuwa kitovu Kipya Cha biashara
Hiyo ni sawa lakini itategemea.Sawa. Kariakoo itabakia majengo. Mbezi itabakia kuwa kitovu Kipya Cha biashara
Hiki ni kichekesho. Yaani jengo moja linachukua nafasi ya kitongoji chote kinachoitwa kariakoo?
Je uwepo wa stendi Ubungo ulisababisha KKOO kuumiaSawa. Kariakoo itabakia majengo. Mbezi itabakia kuwa kitovu Kipya Cha biashara
stendi ni nzuri kwakweliSifa za kijinga, maji yanatoka vyooni? Rough road mshaziwekea lami?
Je uwepo wa stendi Ubungo ulisababisha KKOO kuumia
Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app