KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 2,789
- 4,951
Moja ya maombi ninayoomba kila Leo kwa Mungu ni kuipa nguvu kamati Mhe. Rais aliyomwagiza waziri Mkuu kuundwa ili kuchuguza uimara na ubora wa majengo ya kariakoo na Mhe.Rais aligusia kwamba hawatasita kubomoa majengo yote kariakoo kama kamati ikishauri hivyo.
Ombi hili kwa Mungu linatokana na nia ya dhati ya kuiona kariakoo mpya, kariakoo ambayo itakuwa ni kitovu Cha biashara, uchumi na uwekezaji si tu Afrika bali Duniani kwa ujumla , Kariakoo kama ilivyo 'Guangzhou' ya kule china ninaamini linawezekana lakini mpaka pale Kariakoo ya sasa ikiondoka.
Ombi kwa Rais Samia, Kariakoo mpya, Bora na ya kisasa ipo ndani ya mamlaka yako ninaomba uifanye mpya.