Kariakoo Kuna ushirikina mwingi sana, huenda kafara limehusika

Kariakoo Kuna ushirikina mwingi sana, huenda kafara limehusika

We hujasikia kwamba jengo lilikuwa likichimbwa kwa chini kuongeza frem afu sijui umeona vinondo vilivyotumika kujengea afu eti usingizie kafara 😂 , mzigo wa nguo tuu tayari ulikuwa umeelemea jengo
 
Kila kitu kinatokea kwa sababu maalum inahitaji jicho na akili ya ziada kuweza kutegua hicho kitendawili.

Zingatia tupo ukingoni mwa mwaka
Mwaka unashida gani ndugu, mwisho wa mwaka ndio nini mzee,every day count.

Hapo ndio mnalogana sio kisa mwisho wa mwaka.
 
We hujasikia kwamba jengo lilikuwa likichimbwa kwa chini kuongeza frem afu sijui umeona vinondo vilivyotumika kujengea afu eti usingizie kafara 😂 , mzigo wa nguo tuu tayari ulikuwa umeelemea jengo
Kwenye kutoa kafara huwa kunatafutwa sababu tu kafara ifanyike.
 
Back
Top Bottom