Kariakoo Kuna ushirikina mwingi sana, huenda kafara limehusika

We hujasikia kwamba jengo lilikuwa likichimbwa kwa chini kuongeza frem afu sijui umeona vinondo vilivyotumika kujengea afu eti usingizie kafara πŸ˜‚ , mzigo wa nguo tuu tayari ulikuwa umeelemea jengo
 
Kafara ina mambo mengi, ajali inaweza kutokea kiaina, hao jamaa wana mbinu nyingi.
 
Kila kitu kinatokea kwa sababu maalum inahitaji jicho na akili ya ziada kuweza kutegua hicho kitendawili.

Zingatia tupo ukingoni mwa mwaka
Mwaka unashida gani ndugu, mwisho wa mwaka ndio nini mzee,every day count.

Hapo ndio mnalogana sio kisa mwisho wa mwaka.
 
We hujasikia kwamba jengo lilikuwa likichimbwa kwa chini kuongeza frem afu sijui umeona vinondo vilivyotumika kujengea afu eti usingizie kafara πŸ˜‚ , mzigo wa nguo tuu tayari ulikuwa umeelemea jengo
Kwenye kutoa kafara huwa kunatafutwa sababu tu kafara ifanyike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…