mngony
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 5,555
- 6,972
Tunashkuru kwa sehemu hiyo ya Historia ya TANU Mohamed Said
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitang'wa1,Historia nzuri, ila kama umegusia kidogo sana, tupe vitu adimu hivyo kihistoria tuvijue.
Bahati mbaya, utandawazi huu umetufanya wengi kujua zaidi ya magharibi na ughaibuni huko, kuliko ya huku kwetu.
Binafsi napenda sana historia, hasa hizi za kwetu.
Ahsante!
SHIDA YA MOHAMED SAID NI UDINI WAKE TU BASI!! MLALAMISHI KWELI NA MPOTOSHAJIKitang'wa1,
Ikiwa unapenda historia ya Tanganyika ingia hapa:
mohammedsaid.com
SHIDA YA MOHAMED SAID NI UDINI WAKE TU BASI!! MLALAMISHI KWELI NA MPOTOSHAJI
MAANDISHI YAKE NI YA UCHOCHEZI KWELI. HUWA ANAJENGA DHANA KUWA WAISLAMU WANAONEWA WAKATI NDIO WAPIGANIA UHURU KWA KIASI KIKUBWA!! ANASHINDWA KUELEZA KIINI CHA WAISLAM KUACHWA NYUMA NA DINI ZINGINE! HUO NDIO UDINI WAKE!"Udini" wake uko wapi?
MAANDISHI YAKE NI YA UCHOCHEZI KWELI. HUWA ANAJENGA DHANA KUWA WAISLAMU WANAONEWA WAKATI NDIO WAPIGANIA UHURU KWA KIASI KIKUBWA!! ANASHINDWA KUELEZA KIINI CHA WAISLAM KUACHWA NYUMA NA DINI ZINGINE! HUO NDIO UDINI WAKE!
Eleza wewe hicho kiini..!?MAANDISHI YAKE NI YA UCHOCHEZI KWELI. HUWA ANAJENGA DHANA KUWA WAISLAMU WANAONEWA WAKATI NDIO WAPIGANIA UHURU KWA KIASI KIKUBWA!! ANASHINDWA KUELEZA KIINI CHA WAISLAM KUACHWA NYUMA NA DINI ZINGINE! HUO NDIO UDINI WAKE!
MAANDISHI YAKE NI YA UCHOCHEZI KWELI. HUWA ANAJENGA DHANA KUWA WAISLAMU WANAONEWA WAKATI NDIO WAPIGANIA UHURU KWA KIASI KIKUBWA!! ANASHINDWA KUELEZA KIINI CHA WAISLAM KUACHWA NYUMA NA DINI ZINGINE! HUO NDIO UDINI WAKE!
ANGALIA TAKWIMU ZA VYUO, SHULE, HOSPITALI N.K ZINAZOMILIKIWA NA WAISLAM VS DINI ZINGINE. PATA TAKWIMU TOKA TAMISEMI WANAOINGIA KIDATO CHA TANO NA TCU WANAOINGIA VYUO VIKUU. FANYA ULINGANIFU. UTAPATA JIBU SAHIHI. HAKUNA HILA WALA MPANGO MAHSUSI WA KUONEA DINI FULANI.Eleza wewe hicho kiini..!?
Gangongine,SHIDA YA MOHAMED SAID NI UDINI WAKE TU BASI!! MLALAMISHI KWELI NA MPOTOSHAJI
Mbona wewe unatupigia kelele kwa maandishi yako ya herufi kubwa? Na wewe ni mdini?
Hebu tuwekee nukuu za huo udini wa Mohamed Said ili atupe majibu.
Ukishindwa kuweka nukuu basi ujuwe wewe ni fataani.
Jackline1,mbona hapo sokoni naona Kanzu tu-au ndo walikuwa wafanya biashara pekee
kwa hiyo hapo ilikuwa kabla wasomi toka up country akina Nyerere kuingia jijini na kuliteka kabisaJackline1,
Hiyo ni Dar es Salaam ya 1940s.
Hali ndivyo ilivyokuwa.
Usiende mbali sana..!ANGALIA TAKWIMU ZA VYUO, SHULE, HOSPITALI N.K ZINAZOMILIKIWA NA WAISLAM VS DINI ZINGINE. PATA TAKWIMU TOKA TAMISEMI WANAOINGIA KIDATO CHA TANO NA TCU WANAOINGIA VYUO VIKUU. FANYA ULINGANIFU. UTAPATA JIBU SAHIHI. HAKUNA HILA WALA MPANGO MAHSUSI WA KUONEA DINI FULANI.
ANGALIA TAKWIMU ZA VYUO, SHULE, HOSPITALI N.K ZINAZOMILIKIWA NA WAISLAM VS DINI ZINGINE. PATA TAKWIMU TOKA TAMISEMI WANAOINGIA KIDATO CHA TANO NA TCU WANAOINGIA VYUO VIKUU. FANYA ULINGANIFU. UTAPATA JIBU SAHIHI. HAKUNA HILA WALA MPANGO MAHSUSI WA KUONEA DINI FULANI.
Hayo ni mawazo ya Dr Silvalon, tena Mzungu toka Ulaya ambaye hajui hata Uhuru ulivyopiganiwa!! Tusiachane Undugu kwa maneno ya kuokoteza vitabuni. Tuchambue ukweli kuhusu matatizo yetu na kusaidiana namna ya kuyatatua!Gangongine,
Ikiwa umekusudia kuwa udini ni mie kuwa Muislam na nikaandika
historia ya Waislam waliopigania uhuru wa Tanganyika ambao kwa
kustaajabisha walifutwa na hao wasiokuwa wadini hakika mimi ni
mdini.
Lakini utasema nini kuwahusu wale ambao wewe unaowaona si
wadini waliotamka kuwa adui ya ni Uislam?
Msome Padri Sivalon hapo chini:
''The Church was worried that the resources in the hands of rich
Asian Muslim community in East Africa, coupled with the political
power of African Muslims, particularly in Tanganyika, would endanger
Christian interests in East Africa. The Church therefore declared Islam
as its enemy in the country and plotted to thwart its progress.''
John C. Sivalon, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi
1985, (Ndanda, 1992 p. 37).
Ndugu yangu hebu nambie nani mdini?
Mohamed Said au Kanisa lilosema Uislam ni adui yake?
Hivi leo Muislam angeandika kitabu kisha akasema Ukristo ni adui yetu
hapa pangekalika?
Je, Kanisa limepata kukanusha maneno hayo toka kitabu kichapwe 1992?
Mara kadhaa nimepata kuwaonya kuwa msizungumze mambo ambayo
hamna ujuzi nayo ni hatari.
Gangongine,ANGALIA TAKWIMU ZA VYUO, SHULE, HOSPITALI N.K ZINAZOMILIKIWA NA WAISLAM VS DINI ZINGINE. PATA TAKWIMU TOKA TAMISEMI WANAOINGIA KIDATO CHA TANO NA TCU WANAOINGIA VYUO VIKUU. FANYA ULINGANIFU. UTAPATA JIBU SAHIHI. HAKUNA HILA WALA MPANGO MAHSUSI WA KUONEA DINI FULANI.
Mwageni takwimu hapa ndio ubishi utaisha, Mnamiliki vyuo Vikuu vingapi, vyuo vya Ufundi, Vyuo vya Afya, Shule za Upili na Sekondari za Juu n.k. Hapo jipimeni na mtajua sababu ya kuachwa nyuma. ACHENI UBISHI WA KIJIWENI. TUNATAKA FACTS ONLY!Gangongine,
Wakutujibu si wewe Gangongine.
Wakutujibu ni serikali ambayo ina malalamiko yetu kwa muda mrefu.
Wewe si uliyelalamikiwa.
Hushangai kuwa suala hili serikali haitaki kuliweka hadharani?
Ndugu yangu tuache hili huna unachokijua jadili na mimi mengine yaliyo
katika uwezo wako.
Lakini ikiwa unataka kujua tatizo la udini Tanzania msome P van Bergen
(1981), Sivalon (1992), Njozi (2002) na ukipenda Said (1998).
Hiyo picha hapo chini ni maandamano ya kupinga dhulma NECTA chini ya
Ndalichako ambae sasa kwa bahati nzuri ndiye Waziri wa Elimu.
![]()
Gangongine,Hayo ni mawazo ya Dr Silvalon, tena Mzungu toka Ulaya ambaye hajui hata Uhuru ulivyopiganiwa!! Tusiachane Undugu kwa maneno ya kuokoteza vitabuni. Tuchambue ukweli kuhusu matatizo yetu na kusaidiana namna ya kuyatatua!
bado nazingoja takwimu, siyo hayo maigizo yako. Hakuna anayebisha kwamba Waislamu walishiriki kwa kiasi kikubwa kupigania Uhuru lakini nimekuambia kilichowafanya wabaki nyuma sio mpango maalum au hila. Ndio maana nikaomba uweke takwimu hapa ndio utajua hakuna ubaguzi wowote kwa Waislam katika Nchi hii.Gangongine,
Wewe umeleta data hapa jamvini na nimekupa majibu.
Mimi si wa kuokota chochote.
Mzungu hajui uhuru ulivyotafutwa Tanganyika...
Sasa unanchekesha na ndiyo unanihakikishia kuwa umevamia
jambo usilo na ujuzi nalo.
Hivi hujui kuwa historia ya Tanganyika imeandikwa na Wazungu
akina Iliffe na Ranger?
Iliyoandikwa na Waafrika sisi wenyewe ndiyo hiyo ya Chuo Cha
Kivukoni.
Hebu basi kwanza fanya utafiti lau kidogo tufahamiane.
Waislam hatukupata kumbagua yeyote katika Tanganyika.
Soma historia ya Mwalimu Nyerere ni nyumba gani alipokelewa akalala
na kula.
Kisha wakamweka katika uongozi na mwishowe kumkabidhi nchi.
Mwangalie Mwalimu Nyerere yuko na akina nani hapo chini?
Hebu jiulize hao wengine walijificha wapi?:
![]()