Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
- #61
Gangongine,SIJAKUTUSI KAKA. ILA NASEMA KAMA UNA TAKWIMU AU HUJAFANYA UTAFITI HUNA HAKI YA KUBISHANA NA MTU HAPA DUNIANI. HIVYO VITABU HAVISAIDII KUJUA TATIZO LA WAISLAM KUBAKI NYUMA. ILA HIZO TAKWIMU ULIZOKATAA KUWEKA JAMVINI ZINATOA MAJIBU KUHUSU KIINI CHA TATIZO. VINGINENVYO UTABAKI UNALALAMIKA MILELE NA PENGO LITAZIDI KUKUA HATUA ZISIPOCHUKULIWA!! SIBISHANI TENA NAWE MAANA UNATOA HADITHI TU HAPA!! KWA MFANO VITABU VYOTE HIVYO VINATOA TAKWIMU LINGANIFU ZIKIONESHA JINSI WAISLAM WALIVYOACHWA NYUMA. LAKINI HAZIELEZI KIINI CHENYEWE NA JINSI YA KUREKEBISHA!!
Huo ni mtazamo wako una haki nao hakuna wa kukuzuia.
Nimekuonyesha njia ya kulijua tatizo umekataa hapana ugomvi.
Mkapa alituomba "ushahidi wa kisayansi" tukampa.
Alipousoma alipata simanzi na hofu.
Asingeweza kutuangalia usoni na ushahidi tuliompa.
Matokeo yake aliona njia bora ni kuukataa ushahidi usitolewe kwa kupiga marufuku ushahidi wenyewe.
Mimi nilichofanya ni kukushika mkono tu nikupitishe njia tuliyompitisha aliyekuwa na dhamana ya kusimamia haki Rais Mkapa.
Aliyoyaona yalimdhihirishia ukweli wa dhulma.
Hadi leo hakuna kiongozi aliyetudai tena ushahidi.