Kariakoo Mitaa ya Mkunguni, Tandamti, Nalung'ombe na Sikukuu kila mtu ni trafiki na mjuaji

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Mitaa hiyo wenye magari wanapata tabu sana kwa kufokewa na wapita njia. Mwenye gari akipita mitaa hiyo ajiandae kisaikolojia.

Kuanzia mtembea kwa miguu, kilema, msukuma mikokoteni, mwenye baiskeli, machinga na wazee wa mingo za parking wooote wote ni matrafiki, waelekezaji, wajuaji na waropokaji!

NDIYO MAANA MAKONDA ALIWAHI KUSEMA ANGEKUWA NA UWEZO ANGETIMUA MACHINGA WOTE
 
wa mbele wanakwambia Rudi nyuma wa nyuma wanakwambia nenda mbele!
Halafu wana roho fulani ya kwanini. Wanafurahia wakiona unapata tabu, ole wako umguse mmoja hata na side mirror tu, wanahamishia Kijiji kwako
 
Huwa nashangaa wanaoweza kuishi mitaa ile.
Ilihali mie kukatia tu naona tabu sana.
Ikitokea nina safari huko ninapata mawazo njia nzima.
Huko ni sehemu unakutana na matusi watu wanapeana kama salamu.
 
Mitaa hiyo wenye magari wanapata tabu sana kwa kufokewa na wapita njia. Mwenye gari akipita mitaa hiyo ajiandae kisaikolojia.

Kuanzia mtembea kwa miguu, kilema, msukuma mikokoteni, mwenye baiskeli, machinga na wazee wa mingo za parking wooote wote ni matrafiki, waelekezaji, wajuaji na waropokaji!

NDIYO MAANA MAKONDA ALIWAHI KUSEMA ANGEKUWA NA UWEZO ANGETIMUA MACHINGA WOTE

Sasa kama kumbe Kiini hasa za Chuki zako ni kwa Wamachinga ambao nahisi Wamekukera / Kukuchapia Mkeo sasa mbona umezunguka sana hivi?
 
Huwa nashangaa wanaoweza kuishi mitaa ile.
Ilihali mie kukatia tu naona tabu sana.
Ikitokea nina safari huko ninapata mawazo njia nzima.
Huko ni sehemu unakutana na matusi watu wanapeana kama salamu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiih auntieeh lol, matus n salam, ila mi kweli mie hata swez kukaa paleeh kabisaaah
 
Mitaa ya kariakoo siijui kwa majina zaidi ya mtaa wa Congo tu.

Pole kwa kadhia hiyo, yatapita tu, lol
 
Kongo ndo hapafai.
Maana unaweza kupita umevaa tu jinsi na tshirt wakakuambia " dada fungua zipu" wakati umefunga ili mradi tu uwape attention yako.
 
Hahahahaha hiyo kali ati "dada funga zipu", wahuni sana kumbe.
 
Point of corection,ni mlemavu na sio kilema,hatutumii tena hilo jina mkuu.

Mods msaidie kubadilisha hapo juu
 
Kwanini upite na gari hiyo mitaa mida ya watu wengi.. Mambo mengine ni kujitaia..otherwise Kama una jambo LA muhimu kufanya ivo.....
 
Huwa nashangaa wanaoweza kuishi mitaa ile.
Ilihali mie kukatia tu naona tabu sana.
Ikitokea nina safari huko ninapata mawazo njia nzima.
Huko ni sehemu unakutana na matusi watu wanapeana kama salamu.
yaan matus inje inje
 
Kwanini upite na gari hiyo mitaa mida ya watu wengi.. Mambo mengine ni kujitaia..otherwise Kama una jambo LA muhimu kufanya ivo.....
Sasa kwa mawazo yako; mtu anakwenda bila Jambo la msingi huko?
 
Mitaa hiyo wenye magari wanapata tabu sana kwa kufokewa na wapita njia. Mwenye gari akipita mitaa hiyo ajiandae kisaikolojia.

Kuanzia mtembea kwa miguu, kilema, msukuma mikokoteni, mwenye baiskeli, machinga na wazee wa mingo za parking wooote wote ni matrafiki, waelekezaji, wajuaji na waropokaji!

NDIYO MAANA MAKONDA ALIWAHI KUSEMA ANGEKUWA NA UWEZO ANGETIMUA MACHINGA WOTE
We utapitaje hizo njia zimejaa machinga na watembea kwa miguu? Hapo kila mtu anamiliki barabara,mtu anasimamisha gari popote kushusha mzigo na mnabaki foleni mpaka amalize,Ila siyo kosa,ni walioruhusu watu wafanye biashara mpaka barabarani,hata Agrey usipite kama unaharaka
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiih auntieeh lol, matus n salam, ila mi kweli mie hata swez kukaa paleeh kabisaaah
Kuna watu wanawah mapema kwa kazi ya kurusha mitusi tu
 
Back
Top Bottom