utopoloNa ndio maana huyo Makonda leo hii hayupo!
Mkuu usiombe ukutane na watu waliokata tamaa ya maisha. Wana ushirikiano hatari!!Pengine dereva ana walakini, wote hao wampigie kelele yeye!
wa mbele wanakwambia Rudi nyuma wa nyuma wanakwambia nenda mbele!Mkuu usiombe ukutane na watu waliokata tamaa ya maisha. Wana ushirikiano hatari!!
Halafu wana roho fulani ya kwanini. Wanafurahia wakiona unapata tabu, ole wako umguse mmoja hata na side mirror tu, wanahamishia Kijiji kwakowa mbele wanakwambia Rudi nyuma wa nyuma wanakwambia nenda mbele!
Mitaa hiyo wenye magari wanapata tabu sana kwa kufokewa na wapita njia. Mwenye gari akipita mitaa hiyo ajiandae kisaikolojia.
Kuanzia mtembea kwa miguu, kilema, msukuma mikokoteni, mwenye baiskeli, machinga na wazee wa mingo za parking wooote wote ni matrafiki, waelekezaji, wajuaji na waropokaji!
NDIYO MAANA MAKONDA ALIWAHI KUSEMA ANGEKUWA NA UWEZO ANGETIMUA MACHINGA WOTE
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiih auntieeh lol, matus n salam, ila mi kweli mie hata swez kukaa paleeh kabisaaahHuwa nashangaa wanaoweza kuishi mitaa ile.
Ilihali mie kukatia tu naona tabu sana.
Ikitokea nina safari huko ninapata mawazo njia nzima.
Huko ni sehemu unakutana na matusi watu wanapeana kama salamu.
Kongo ndo hapafai.Mitaa ya kariakoo siijui kwa majina zaidi ya mtaa wa Congo tu.
Pole kwa kadhia hiyo, yatapita tu, lol
Hahahahaha hiyo kali ati "dada funga zipu", wahuni sana kumbe.Kongo ndo hapafai.
Maana unaweza kupita umevaa tu jinsi na tshirt wakakuambia " dada fungua zipu" wakati umefunga ili mradi tu uwape attention yako.
Kwani kilema na mlemavu Wana tofauti gani acha bangi wewePoint of corection,ni mlemavu na sio kilema,hatutumii tena hilo jina mkuu.
Mods msaidie kubadilisha hapo juu
yaan matus inje injeHuwa nashangaa wanaoweza kuishi mitaa ile.
Ilihali mie kukatia tu naona tabu sana.
Ikitokea nina safari huko ninapata mawazo njia nzima.
Huko ni sehemu unakutana na matusi watu wanapeana kama salamu.
Sasa kwa mawazo yako; mtu anakwenda bila Jambo la msingi huko?Kwanini upite na gari hiyo mitaa mida ya watu wengi.. Mambo mengine ni kujitaia..otherwise Kama una jambo LA muhimu kufanya ivo.....
We utapitaje hizo njia zimejaa machinga na watembea kwa miguu? Hapo kila mtu anamiliki barabara,mtu anasimamisha gari popote kushusha mzigo na mnabaki foleni mpaka amalize,Ila siyo kosa,ni walioruhusu watu wafanye biashara mpaka barabarani,hata Agrey usipite kama unaharakaMitaa hiyo wenye magari wanapata tabu sana kwa kufokewa na wapita njia. Mwenye gari akipita mitaa hiyo ajiandae kisaikolojia.
Kuanzia mtembea kwa miguu, kilema, msukuma mikokoteni, mwenye baiskeli, machinga na wazee wa mingo za parking wooote wote ni matrafiki, waelekezaji, wajuaji na waropokaji!
NDIYO MAANA MAKONDA ALIWAHI KUSEMA ANGEKUWA NA UWEZO ANGETIMUA MACHINGA WOTE
Kuna watu wanawah mapema kwa kazi ya kurusha mitusi tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiih auntieeh lol, matus n salam, ila mi kweli mie hata swez kukaa paleeh kabisaaah