Lengo lako ni nini? Mbona biashara nyingi umeacha..maana kariakoo biashara nyingi za bidhaa zinazofanana maduka yapo sehemu moja spea za magari, spea za bodaboda, printing, vipodozi, nguo za ndani , simu, Electronics ( tv,friji, redio etc), furniture, nguo na viatu, vyombo vya chakula, mapambo, urembo, electronics, hardware, Used equipments, bidhaa za vyakula , mboga mboga na matunda, species, vifungashio& mifuko , madawa ya binadamu na mifugo, equipments na mashine za ujenzi ,viwandani mashambani etc kibao...inshort hakuna biadhaa unaweza kosa.