Kariakoo na Dar es Salaam: Wanahistoria tendeeni haki Historia za majina hayo

Okelo hajawahi kutawazwa (kuapishwa) kuwa ni Rais wa Zanzibar.
Turudi kwenye madaya Dar Es Salaam na Kariakoo.
 
Okelo hajawahi kutawazwa (kuapishwa) kuwa ni Rais wa Zanzibar.
Turudi kwenye madaya Dar Es Salaam na Kariakoo.
It doesn't matter na haiondoi ukweli ndie baba wa taifa la Zanzibar
 
It doesn't matter na haiondoi ukweli ndie baba wa taifa la Zanzibar
Hilo la "ubaba" lipo kanisani, siyo kwa wananchi. Sisi tunaisoma biblia inakataza usimwite yeyote baba hapa duniani.

Uislam ndani ya Qur'an umetukataza hata kumwita kipenzi chetu Mtume Muhammad Salla Allahu alayhi Wasalaam kuwa ni "baba" ipo wazi kabisa.

Hicho cheo cha ubaba ni cha kanisani hakina mshiko kwenye nchi bali kutaka kututowa Waislam kwenye mafundisho yetu tuwafate asiyoifata biblia yenu. Mna mababa kila kona, hata waisozaa mnawaita "baba
". Wengi wenu utakuta ni wale ambao kila mwanamme anaeingia kwenu unaambiwa "mwamkie baba'ko". Kwa hiyo inakuwa kawaida kwenu na si kwa waale wenye kumjuwa baba yetu ni nani.
 
Vip umepiga cha Arusha nini mbona umeongea sana.
 
Kariako=carrier corps

Msasani=mussa hassan

Ova
 
Kariako=carrier corps

Ova
Hiyo haiji kabisa wala haijakuwa, ni fikra tu za watu. Hatujawahi kuwa na watu wa namna hiyo Tanganyika wala kwengine, eti wabeba mizigo ndiyo wanaitwa hivyo! Huyo aliyeanzisha uongo huo haelewi Kingereza, Kingereza wabeba mizigo wanaitwa 'porters".

Qariah kuu = kariakoo.

Huo ni mchanganyiko wa Kiarabu na Kibantu kama ilivyo Kiswahili ma wenye kuleta maana halisi bila mjadala wowote.
 
Nimejikuta natabasam kumbe watu wenye vichwa vilivyojaa fikra yakinifu Bado tupo wengi, hongera kwako FaizaFoxy na Yule kaka aliyekuwa anatema madini ya miaka hyo akitujuza juu ya bibi yetu Deborah n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…