Kariakoo: Nimenunua Raba kali kinoma kwa 15,000/=. Madukani huwa naona zinauzwa 70,000/=

Kariakoo: Nimenunua Raba kali kinoma kwa 15,000/=. Madukani huwa naona zinauzwa 70,000/=

Sneaker zako nzuri bwana mkuu.
Hawa Rich niggas wa Jf wasikupe tabu, huko waliko ukute soli zimechanika pamoja na kujiona Rothschild's .
Vaa raba yako kwa amani, kupigwa ndo lugha ya umaskini wenyewe + wivu!! ukiona imeharibika tupa uko nunua ingine maisha yaendelee.
 
Ican imagine the feeling of not being able to afford something then all of a sudden you come across the same shoe at a price you can afford.

Dah ,[emoji23][emoji23][emoji1544]
 
Bas ndugu wenye kujua na kuvaa viatu original tunaomba mtulete mjini sasa,ni maduka yapi yanauza viatu original kabisa na kwa bei zipi? ni vip kuhusu online shops kama kikuu na alibaba zile viatu ni original?
Viatu OG made in china and Vietnam vinauzwa kwenye maduka ya huko New York London na Paris na China kwa niaba ya makampuni ya mabeberu kama vile footlocker, jd sports, tkmax.Vilivyofeli vinaletwa kwetu kwa sababu hata kama ni fake wao hawawajibiki kwa vile hawayatambui hayo maduka ya kariakoo,ndiyo unakutana na Jordan ya lakimoja kwenye duka la viooo unaambiwa OG.
 
Elfu nane hizo Raba.. Ukienda Kati kariakoo zimemwagwa kibao
 
Nime imagine ulichokisema in relation to the feeling of our fella in the thread.

Bado inanichekesha hadi sasa hivi nikiwaza nika relate na uzi.

Nonetheless, I liked your empathy hapa, Karucee
Pamoja Pep
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Kariakoo baba lao.

Nilikua nimeenda kununua Tende pale Msimbazi msikiti wa Idrisa kwa ajili ya iftar (kufuturisha Waislamu wenzangu nipate thawabu kwa Mola wangu. Yaani pamoja na kuwa na tabia chafu ya kutembea na wake za watu lakin najivunia kuwa Muislamu aisee. Inshallah mwaka huu nikioa nitatulia).

Sasa wakat naondoka nikapita mitaa ya katikati mule, nikaona meza moja Raba kali kinoma, zile wanaziiitaga Air Jordan, Nike, NBA snickers. Kuulizia bei zake akaanzia 20,000!

Daaah nikavikagua na kuanza kujisemea moyoni hivi si naonaga akina David Sportswear, Robyone, NjooKariakoo2020 wanauza kuanzia 65,000 mpaka 70, 0000!!!

Nikamwambia mshikaji mie nina 14,000 akanitolea nje. Nikasepa, akaniita akasema ongeza buku. Nikampa 15,000 nikabeba.

Wakuu, kumbe madukani huwa mnaibiwa. Vitu vya kijanja kwa bei za kijanja vyote vipo Kariakoo.

View attachment 1764016
Umepigwa kaka
 
We nawee[emoji18][emoji18]
Jamani mwacheni Dogo na lakuchumpa lake! "Mtu chake hapendacho hakina hila machoni,huridhika kua nacho japo hakina thamani"!! Hivi mi Machoni au Moyoni!? Mtanirekebisha hapo kidogo!!
 
Back
Top Bottom