😃😃, Pesa hata sijazionaWewe naye mmbea umeona mpaka handkerchief [emoji23][emoji23]
We nawee😌😌UPDATE:
Leo nadunda navyo hapa ofisini, watu wengi naopishana nao njiani/koridoni wananitazama sana miguuni.
Infact nimependeza
Wakumbushe mzee[emoji1787][emoji1787]Bei cheee buku jero halina gharamaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ican imagine the feeling of not being able to afford something then all of a sudden you come across the same shoe at a price you can afford.
Iko nini Pep?Dah ,[emoji23][emoji23][emoji1544]
[emoji16][emoji16][emoji16]Hizo mkuu huwa tunatengeneza hapa Tandale.
Siku hizi kawa legend hapigwi tenaKuna jamaa alileta uzi kuwa pesa zimetoka kutengeneza gari yake
Sasa akachanganua vifaa alivyonunua aiseee comment za humo alijuta alikuwa kapigwa vibaya na fundi wake huyo wakati yeye kaona kagalaliza kweli
Viatu OG made in china and Vietnam vinauzwa kwenye maduka ya huko New York London na Paris na China kwa niaba ya makampuni ya mabeberu kama vile footlocker, jd sports, tkmax.Vilivyofeli vinaletwa kwetu kwa sababu hata kama ni fake wao hawawajibiki kwa vile hawayatambui hayo maduka ya kariakoo,ndiyo unakutana na Jordan ya lakimoja kwenye duka la viooo unaambiwa OG.Bas ndugu wenye kujua na kuvaa viatu original tunaomba mtulete mjini sasa,ni maduka yapi yanauza viatu original kabisa na kwa bei zipi? ni vip kuhusu online shops kama kikuu na alibaba zile viatu ni original?
Nime imagine ulichokisema in relation to the feeling of our fella in the thread.Iko nini Pep?
Pamoja PepNime imagine ulichokisema in relation to the feeling of our fella in the thread.
Bado inanichekesha hadi sasa hivi nikiwaza nika relate na uzi.
Nonetheless, I liked your empathy hapa, Karucee
pana nn?Una pajua machinga complex kariakoo pita pale asubuhi
Umepigwa kakaKariakoo baba lao.
Nilikua nimeenda kununua Tende pale Msimbazi msikiti wa Idrisa kwa ajili ya iftar (kufuturisha Waislamu wenzangu nipate thawabu kwa Mola wangu. Yaani pamoja na kuwa na tabia chafu ya kutembea na wake za watu lakin najivunia kuwa Muislamu aisee. Inshallah mwaka huu nikioa nitatulia).
Sasa wakat naondoka nikapita mitaa ya katikati mule, nikaona meza moja Raba kali kinoma, zile wanaziiitaga Air Jordan, Nike, NBA snickers. Kuulizia bei zake akaanzia 20,000!
Daaah nikavikagua na kuanza kujisemea moyoni hivi si naonaga akina David Sportswear, Robyone, NjooKariakoo2020 wanauza kuanzia 65,000 mpaka 70, 0000!!!
Nikamwambia mshikaji mie nina 14,000 akanitolea nje. Nikasepa, akaniita akasema ongeza buku. Nikampa 15,000 nikabeba.
Wakuu, kumbe madukani huwa mnaibiwa. Vitu vya kijanja kwa bei za kijanja vyote vipo Kariakoo.
View attachment 1764016
Jamani mwacheni Dogo na lakuchumpa lake! "Mtu chake hapendacho hakina hila machoni,huridhika kua nacho japo hakina thamani"!! Hivi mi Machoni au Moyoni!? Mtanirekebisha hapo kidogo!!We nawee[emoji18][emoji18]
Jamani tuwe na shukhurani maana zamani kuvaa kiatu au raba mtoni lazima uwe na ndg nje ya Nchi ili akutumie,au vaa mi chachacha zako! Maendeleo Tz yamekuja kwa kasi sana!!Elfu nane hizo Raba.. Ukienda Kati kariakoo zimemwagwa kibao