Shida ni ulivyoanza na mada yako..........sahivi unaombolezaDuuh... The power of social media.
Kila mtu ana hela. Kila mtu mjanja.
Kila mtu ananunua vitu vyote OG.
Kila mtu tajiri, masikini hawapo.
Kila mtu anavaa viatu vyenye thamani kuanzia 50,000 kupanda juu!!
MATAKO YANGU MIEEEEE MASIKINIIII
Wenye hobby hizo, hata mwonekana ni tofauti. Wanaziona na kujua wewe wa kuja tuuHivi faida ya kuvaa viatu original iko wapi hasa?? Kwamba ufahari wa kuonekana umevaa maviatu ya gharama ndefu? Nani kwanza atajua kama umevaa OG au fake ikiwa kwa muonekano havina tofauti.
Sasa unajivuniaje dini ambayo haikusaidii kuishinda dhambi?Kariakoo baba lao.
Nilikua nimeenda kununua Tende pale Msimbazi msikiti wa Idrisa kwa ajili ya iftar (kufuturisha Waislamu wenzangu nipate thawabu kwa Mola wangu. Yaani pamoja na kuwa na tabia chafu ya kutembea na wake za watu lakin najivunia kuwa Muislamu aisee. Inshallah mwaka huu nikioa nitatulia).
Sasa wakat naondoka nikapita mitaa ya katikati mule, nikaona meza moja Raba kali kinoma, zile wanaziiitaga Air Jordan, Nike, NBA snickers. Kuulizia bei zake akaanzia 20,000!
Daaah nikavikagua na kuanza kujisemea moyoni hivi si naonaga akina David Sportswear, Robyone, NjooKariakoo2020 wanauza kuanzia 65,000 mpaka 70, 0000!!!
Nikamwambia mshikaji mie nina 14,000 akanitolea nje. Nikasepa, akaniita akasema ongeza buku. Nikampa 15,000 nikabeba.
Wakuu, kumbe madukani huwa mnaibiwa. Vitu vya kijanja kwa bei za kijanja vyote vipo Kariakoo.
View attachment 1764016
Mkuu mbona una username ya Kiislamu lakin una preach Ukafiri tena?Sasa unajivuniaje dini ambayo haikusaidii kuishinda dhambi?
Dawa ya dhambi ni Yesu Kristo. Ukimpokea na kumwamini, anayeyusha kiu ya dhambi ndani yako na kuishi maisha ya ushindi dhidi ya dhambi. Nje ya Yesu Kristo, hakuna dini yoyote duniani itakayomwezesha mwanadamu kuishinda dhambi.
YESU KRISTO ndiye NJIA na KWELI na UZIMA.
🙄🙄Mkuu mbona una username ya Kiislamu lakin una preach Ukafiri tena?
Tupeane chimbo mkuuUmepigwa mkuu, hizo mimi huwa nachukua kwa elfu saba hapo hapo kariakoo.
kuwa na pea nyingi, kwa mwezi unakuta umekivaa mara moja tuWewe unataka uvae wiki ngapi?
Peleka u-mbuzi wako huko.maisha ni kuchagua usiharibu biashara za wengine, na kama una personal issues nao wa consult sio kutaja brand za watu kiboya hivo kwa nchi zinazo jielewa ungewalipa hao jamaa ulio wataja acha mhemko wa kitoto # kazi iendelee
Pale kivukoni kuna earphone za buku ukipanda panton mpaka kigamboni hazifanyi kazi.Kariakoo baba lao.
Nilikua nimeenda kununua Tende pale Msimbazi msikiti wa Idrisa kwa ajili ya iftar (kufuturisha Waislamu wenzangu nipate thawabu kwa Mola wangu. Yaani pamoja na kuwa na tabia chafu ya kutembea na wake za watu lakin najivunia kuwa Muislamu aisee. Inshallah mwaka huu nikioa nitatulia).
Sasa wakat naondoka nikapita mitaa ya katikati mule, nikaona meza moja Raba kali kinoma, zile wanaziiitaga Air Jordan, Nike, NBA snickers. Kuulizia bei zake akaanzia 20,000!
Daaah nikavikagua na kuanza kujisemea moyoni hivi si naonaga akina David Sportswear, Robyone, NjooKariakoo2020 wanauza kuanzia 65,000 mpaka 70, 0000!!!
Nikamwambia mshikaji mie nina 14,000 akanitolea nje. Nikasepa, akaniita akasema ongeza buku. Nikampa 15,000 nikabeba.
Wakuu, kumbe madukani huwa mnaibiwa. Vitu vya kijanja kwa bei za kijanja vyote vipo Kariakoo.
View attachment 1764016
[emoji23][emoji23][emoji23]This is Bongo blazaa!!,,.Pale kivukoni kuna earphone za buku ukipanda panton mpaka kigamboni hazifanyi kazi.
Hatari sana, kuna siku nilinunua kiatu cha 5k siku nimekivaa nilirudi nimekishikilia mkononi nimenunua kingine cha kunifiksha nyumbani[emoji23][emoji23][emoji23]This is Bongo blazaa!!,,.
jeans za vunja bei huwa anauza 10,000 jins hiyo hivyo Sinza na kinondoni wanauza 70,000.Kariakoo baba lao.