Kariakoo: Nimenunua Raba kali kinoma kwa 15,000/=. Madukani huwa naona zinauzwa 70,000/=

Duuh... The power of social media.
Kila mtu ana hela. Kila mtu mjanja.
Kila mtu ananunua vitu vyote OG.
Kila mtu tajiri, masikini hawapo.
Kila mtu anavaa viatu vyenye thamani kuanzia 50,000 kupanda juu!!

MATAKO YANGU MIEEEEE MASIKINIIII
Shida ni ulivyoanza na mada yako..........sahivi unaomboleza
 
Hivi faida ya kuvaa viatu original iko wapi hasa?? Kwamba ufahari wa kuonekana umevaa maviatu ya gharama ndefu? Nani kwanza atajua kama umevaa OG au fake ikiwa kwa muonekano havina tofauti.
Wenye hobby hizo, hata mwonekana ni tofauti. Wanaziona na kujua wewe wa kuja tuu
 
Kariakoo baba lao.

Nilikua nimeenda kununua Tende pale Msimbazi msikiti wa Idrisa kwa ajili ya iftar (kufuturisha Waislamu wenzangu nipate thawabu kwa Mola wangu. Yaani pamoja na kuwa na tabia chafu ya kutembea na wake za watu lakin najivunia kuwa Muislamu aisee. Inshallah mwaka huu nikioa nitatulia).

Sasa wakat naondoka nikapita mitaa ya katikati mule, nikaona meza moja Raba kali kinoma, zile wanaziiitaga Air Jordan, Nike, NBA snickers. Kuulizia bei zake akaanzia 20,000!

Daaah nikavikagua na kuanza kujisemea moyoni hivi si naonaga akina David Sportswear, Robyone, NjooKariakoo2020 wanauza kuanzia 65,000 mpaka 70, 0000!!!

Nikamwambia mshikaji mie nina 14,000 akanitolea nje. Nikasepa, akaniita akasema ongeza buku. Nikampa 15,000 nikabeba.

Wakuu, kumbe madukani huwa mnaibiwa. Vitu vya kijanja kwa bei za kijanja vyote vipo Kariakoo.

View attachment 1764016
Sasa unajivuniaje dini ambayo haikusaidii kuishinda dhambi?
Dawa ya dhambi ni Yesu Kristo. Ukimpokea na kumwamini, anayeyusha kiu ya dhambi ndani yako na kuishi maisha ya ushindi dhidi ya dhambi. Nje ya Yesu Kristo, hakuna dini yoyote duniani itakayomwezesha mwanadamu kuishinda dhambi.
YESU KRISTO ndiye NJIA na KWELI na UZIMA.
 
Safii waambie wakuache hao, kwanza waonyeshe na ile rolex yako waone
 
Sasa unajivuniaje dini ambayo haikusaidii kuishinda dhambi?
Dawa ya dhambi ni Yesu Kristo. Ukimpokea na kumwamini, anayeyusha kiu ya dhambi ndani yako na kuishi maisha ya ushindi dhidi ya dhambi. Nje ya Yesu Kristo, hakuna dini yoyote duniani itakayomwezesha mwanadamu kuishinda dhambi.
YESU KRISTO ndiye NJIA na KWELI na UZIMA.
Mkuu mbona una username ya Kiislamu lakin una preach Ukafiri tena?
 
Hivi mnaomponda jamaa kama hio raba ni fake eti sababu ya bei unahisi upo salama?

kwa ufupi tuu hata haya madude mnayonunua k.koo kwa 75,000-150,000 k.koo sio OG, hii ni Synthetic leather,
Kwahio kama ulikua unadhani ni OG sababu eti unauziwa 150k, imekula kwako,
Kiatu kama hiki Ukipata pure leather au full grain leather bila ya 300k kwenda juu sahau, na kwa hapa bongo Angalau Woolworths waweza ukabahatisha huku kwingine utapata haya👇mazuri kwa sura ila yanaongezeka Size kadiri unavyoyavaa

IMG_20210426_121854.jpg

IMG_20210426_115113.jpg

FB_IMG_15924171585962254.jpg

Kinyume na hapo rudi kwenye
mtumba👇

IMG_20210426_121157.jpg
IMG_20210426_121235.jpg
20190818_124534.jpg
 
maisha ni kuchagua usiharibu biashara za wengine, na kama una personal issues nao wa consult sio kutaja brand za watu kiboya hivo kwa nchi zinazo jielewa ungewalipa hao jamaa ulio wataja acha mhemko wa kitoto # kazi iendelee
 
Peleka u-mbuzi wako huko.
Kunya unye wewe, kutawaza uje kwangu. Mazfaka.
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Kariakoo baba lao.

Nilikua nimeenda kununua Tende pale Msimbazi msikiti wa Idrisa kwa ajili ya iftar (kufuturisha Waislamu wenzangu nipate thawabu kwa Mola wangu. Yaani pamoja na kuwa na tabia chafu ya kutembea na wake za watu lakin najivunia kuwa Muislamu aisee. Inshallah mwaka huu nikioa nitatulia).

Sasa wakat naondoka nikapita mitaa ya katikati mule, nikaona meza moja Raba kali kinoma, zile wanaziiitaga Air Jordan, Nike, NBA snickers. Kuulizia bei zake akaanzia 20,000!

Daaah nikavikagua na kuanza kujisemea moyoni hivi si naonaga akina David Sportswear, Robyone, NjooKariakoo2020 wanauza kuanzia 65,000 mpaka 70, 0000!!!

Nikamwambia mshikaji mie nina 14,000 akanitolea nje. Nikasepa, akaniita akasema ongeza buku. Nikampa 15,000 nikabeba.

Wakuu, kumbe madukani huwa mnaibiwa. Vitu vya kijanja kwa bei za kijanja vyote vipo Kariakoo.

View attachment 1764016
Pale kivukoni kuna earphone za buku ukipanda panton mpaka kigamboni hazifanyi kazi.
 
jeans za vunja bei huwa anauza 10,000 jins hiyo hivyo Sinza na kinondoni wanauza 70,000.
 
Back
Top Bottom