Kariakoo: Nimenunua Raba kali kinoma kwa 15,000/=. Madukani huwa naona zinauzwa 70,000/=

Hatari sana, kuna siku nilinunua kiatu cha 5k siku nimekivaa nilirudi nimekishikilia mkononi nimenunua kingine cha kunifiksha nyumbani
APA town kila MTU anahangaika kivyake ukijaa kwenye mitego wanakulipua,,siku nimeingia karume pale nacheki Raba wakanianzia 90 mpk mwenyewe nkashtuka ila mwsho wa cku nkachukua kwa 10 nkajisemea ukijaa mapema wanakupiga ufurahi na roho yako,[emoji119]
 
[emoji1][emoji1] kwa nijuavyo mimi kiatu kimoja kinaweza kuwa na copy hata 3 na kila copy ina bei yake. sasa ni wewe na akili kumkichwa,yaani je kipaumbele ni ubora au kipaumbele ni beii!?. so far David sports wear atabaki kileleni kwasisi wenye 35k zetu tunataka tuwake na Jordan.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatari sana, kuna siku nilinunua kiatu cha 5k siku nimekivaa nilirudi nimekishikilia mkononi nimenunua kingine cha kunifiksha nyumbani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Daah hizi tambo za mleta mada zimenirudhisha way back kipindi hicho shule ya msingi tunatambiana kununuliwa baisikeli .....
 
Matatizo ya miguu ya muda mrefu yamechangiwa na viatu vingi tunavyovaa havijazingatiwa ubora ni vile life imebana inatubidi tuvae chochote kilichopo kwa wakati huo na watunga sheria wetu wameweka Kodi kubwa kwenye mavazi na kushindwa kusimamia ubora wa vitu tunavyotumia...
 
Hivi faida ya kuvaa viatu original iko wapi hasa?? Kwamba ufahari wa kuonekana umevaa maviatu ya gharama ndefu? Nani kwanza atajua kama umevaa OG au fake ikiwa kwa muonekano havina tofauti.
Katika maisha yangu nachukia sana vitu fake mzee mana vinakupa cost zaidi
 
Ulichozungumza hapo ni tabia ya kimasikini. Hakuna tajiri anae nunua kiatu bei rahisi ili kiishe baada ya wiki anunue kingine.
Ndio maana kuna mitumba Ila mipyaa..
Kama tungekua tunanunua tunavaa mpaka vinaisha MITUMBA INGETOKA WAPI?

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…