Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
APA town kila MTU anahangaika kivyake ukijaa kwenye mitego wanakulipua,,siku nimeingia karume pale nacheki Raba wakanianzia 90 mpk mwenyewe nkashtuka ila mwsho wa cku nkachukua kwa 10 nkajisemea ukijaa mapema wanakupiga ufurahi na roho yako,[emoji119]Hatari sana, kuna siku nilinunua kiatu cha 5k siku nimekivaa nilirudi nimekishikilia mkononi nimenunua kingine cha kunifiksha nyumbani
ndiyo maana ya Bongo DaresalamuPale kivukoni kuna earphone za buku ukipanda panton mpaka kigamboni hazifanyi kazi.
in short wewe ni mwema sa,a kwa kushukuru maana najua uliuziwa jeans usiku soko la karume, kumbe wenzio wameipaka mafuta ya kula, siku unaenda ku-ivaa na kufua ndio utajua bong-daresalamaAsante kwa taarifa!
pair 20 zote za elf tano tano, duh bora niendelee kuvaa mtumbakuwa na pea nyingi, kwa mwezi unakuta umekivaa mara moja tu
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatari sana, kuna siku nilinunua kiatu cha 5k siku nimekivaa nilirudi nimekishikilia mkononi nimenunua kingine cha kunifiksha nyumbani
Ukivaa mara 2,3 utavipak ndaniI don't care. Uzuri nikivaa hakuna anayejua nimevaa fake boots. Naonekana nimevaa viatu vya gharama kubwa sana. Huoni mimi ndio mjanja?
Hii kitu nshakutana nachoPale kivukoni kuna earphone za buku ukipanda panton mpaka kigamboni hazifanyi kazi.
Waislamu ndo zenu za matusi ya hovyo hivoPeleka u-mbuzi wako huko.
Kunya unye wewe, kutawaza uje kwangu. Mazfaka.
Katika maisha yangu nachukia sana vitu fake mzee mana vinakupa cost zaidiHivi faida ya kuvaa viatu original iko wapi hasa?? Kwamba ufahari wa kuonekana umevaa maviatu ya gharama ndefu? Nani kwanza atajua kama umevaa OG au fake ikiwa kwa muonekano havina tofauti.
Ndio maana kuna mitumba Ila mipyaa..Ulichozungumza hapo ni tabia ya kimasikini. Hakuna tajiri anae nunua kiatu bei rahisi ili kiishe baada ya wiki anunue kingine.