Hakuna tuwezacho zaidi ya Ulevi, Ngono, Umbea, Rushwa, wizi, uhujumu uchumi na kubishana Simba na Yanga.Nimepita leo kariakoo inasikitisha kweli hata pa kupita hamna kila sehemu chinga wamepanga vitu vyao.
Hivi hata kuwapanga chinga hatuwezi. Dar ni hub zaidi ya nchi 8 zinategemea pale hivi tumeshindwa kweli kutengeneza sehemu ya kuvutia iwe soko la kuwavutia wafanya biashara wa nchi zaidi ya nane na soko letu la ndani hadi tunakua na eneo la hovyo lisiloeleweka kama kariakoo.
Hivi sisi tunaweza nini
Kariakoo kuna soko hapo, ila naona soko limeelemewa, na hatuna mipango ya kujiongeza.Nimepita leo kariakoo inasikitisha kweli hata pa kupita hamna kila sehemu chinga wamepanga vitu vyao.
Hivi hata kuwapanga chinga hatuwezi. Dar ni hub zaidi ya nchi 8 zinategemea pale hivi tumeshindwa kweli kutengeneza sehemu ya kuvutia iwe soko la kuwavutia wafanya biashara wa nchi zaidi ya nane na soko letu la ndani hadi tunakua na eneo la hovyo lisiloeleweka kama kariakoo.
Hivi sisi tunaweza nini
Pananuka mavi vinyesi kabisa maeneo mengineUSIOMBE MITARO IFUMKE MKUU, NI AIBU
Ukipita unakuta wanabishana muda wote yanga na simbaHakuna tuwezacho zaidi ya Ulevi, Ngono, Umbea, Rushwa, wizi, uhujumu uchumi na kubishana Simba na Yanga.
Uafrika hasa utanzania ni laana.
Fulsa ni kubwa sana ila tunaichezeaKariakoo kuna soko hapo, ila naona soko limeelemewa, na hatuna mipango ya kujiongeza.
Sasa hivi panatakiwa kujengwa soko jipya Kibaha uko, kubwa, mji utanuke kuelekea huko.
Si serikali ikitaka kuwapanga watu wanakuja juu wanaona serikali haiwapendi , last year walifanya kuwaondoa kando kando ya barabara raisi akatukanwa hana huruma na raia haya sasa ameachaNimepita leo kariakoo inasikitisha kweli hata pa kupita hamna kila sehemu chinga wamepanga vitu vyao.
Hivi hata kuwapanga chinga hatuwezi. Dar ni hub zaidi ya nchi 8 zinategemea pale hivi tumeshindwa kweli kutengeneza sehemu ya kuvutia iwe soko la kuwavutia wafanya biashara wa nchi zaidi ya nane na soko letu la ndani hadi tunakua na eneo la hovyo lisiloeleweka kama kariakoo.
Hivi sisi tunaweza nini
Kariakoo kuna soko hapo, ila naona soko limeelemewa, na hatuna mipango ya kujiongeza.
Sasa hivi panatakiwa kujengwa soko jipya Kibaha uko, kubwa, mji utanuke kuelekea huko.
TANZANIA KILA KITU SIASANimepita leo kariakoo inasikitisha kweli hata pa kupita hamna kila sehemu chinga wamepanga vitu vyao.