Kariakoo Sasa Majenerator yanaunguruma. Gegegeeee, Dododooo, Gigigiiii

dahaa... kwakweli wametuwezaa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Waziri husika nakutuma, hili nalo mkaliangalie[emoji48], mi5 tena[emoji23][emoji23]
 
Nabado tutaziona kila aina ya rangi na kusikia kila aina ya kelele, V8 zinapaki huku zikinguruma bila shida halafu sisi tuna chomwa na jua kama pasi 🀣 🀣
 
Kuna jenereta zinatoa mlio mpaka zinakera,wataalam walishindwa kabisa kuzifanya ziwe zinapuliza tu kama corolla au carina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…