Kariakoo sehemu gani naweza kupata simu used kwa bajeti kama laki 2?

Kariakoo sehemu gani naweza kupata simu used kwa bajeti kama laki 2?

Kwa bajeti yako utapata Samsung s 6 edge za Dubai.
Nikupe namba ya mhusika?
Atakuletea popote ulipo dar
 
unaweza ukapata used, ingia insta ya eshopmarket (kama nakumbuka vizuri)
 
Back
Top Bottom