Kariakoo sio sehemu salama. Wengi mnapasifu mnapata vihela

dorge

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2025
Posts
258
Reaction score
393
Kariakoo sio sehemu salama. Wengi mnapasifu mnapata vihela ila ni sehemu hatari ,is like hell,Haina usalama kiafya,kiuhai kikila kitu.

Yaani kama ndio sehemu tunajivunia! We are done. Leo nikiwa naungaunga daladala kikaishia buguruni, nikaunga tena daladala lingine la mnazi, nikashuka karume saa Moja na nusu jioni salale hata bolt zinacancell, yaani si watu,pikpik,basikeri,gari binafsi,dala yaani mmmh jamani sio mtiti huu. Janani tusome kitabu cha mwl Nyerere tujitafakari

Miaka flan nikitoka kweny mishe nikapanda pantoni, nikamuona mkuu wa mkoa miaka hiyo mzee yusuph makamba, mzee makamba kama unasoma Uzi huu ile miaka unatembea kwenye nyomi ya wa wananchi sio hii, hapa wameongezeka bodaboda, hawa wanafujo yaani wao ni kama sio viumbe wa Dunia hii, yaani hawajali kifo. Sasa mzee waambie wenzio hiking kizazi kikija kutaka tufufue makaburi, hakikiwha la kwako Lina zege
 
Shida nini kiongozi umeibiwa au vipi?sema Kariakoo pa hovyo kweli.Ukitaka kujua pa hovyo angalia yani umeeleza tu route zako za leo lakini sioni ni kivipi Kariakoo ni kama jehanamu
Hapana bro pana kera sana, utakuta gari imeziba mtaa, ikiwhusha mzigo, yaan kama sio boda wenfine kariakoo tusingegusa, ajabu mtu anapaki boda njiani. Huwez pita. Ukiachulia mbali uchafu wa mitaa, ina msongamano.wa hatari
 
Kuhusu kuibiwa kariakoo niliibiwa mwaka 2000 nikiwa nimevaa kaputula wakachojian2000 yangu, muliize mtu miaka hiyo 2000 ilikuwa na thamani kias gani, nilipagawa nilipagawa
 
Hapana bro pana kera sana, utakuta gari imeziba mtaa, ikiwhusha mzigo, yaan kama sio boda wenfine kariakoo tusingegusa, ajabu mtu anapaki boda njiani. Huwez pita. Ukiachulia mbali uchafu wa mitaa, ina msongamano.wa hatari
Nimekupata kaka.Sema kama uchafu mbona Dsm yote chafu tu au uchafu unategemea eneo na eneo.Sema kwa Dsm wameshachemka naomba haya makosa yasijurudie Dom maana ndio inaweza kuwa promising city kwa Tz
 
Hata huko hell ni pazuri tunatamai tufikepo bt njia ndo hatujui ndugu yangu. Ebu niambie njia ya kwenda huko kiongozi maana kama umesema kariakoo is like hell ulishafikapo ukajua panakaaje. Nakuomba tu unipe ramani na pia nauli uniambie ni shs ngapi kamanda wangu.
 
Kariakoo sio sehemu salama. Wengi mnapasifu mnapata vihela ila ni sehemu hatari ,is like hell,Haina usalama kiafya,kiuhai kikila kitu.

Yaani kama ndio sehemu tunajivunia! We are done. Leo nikiwa naungaunga daladala kikaishia buguruni, nikaunga tena daladala lingine la mnazi, nikashuka karume saa Moja na nusu jioni salale hata bolt zinacancell, yaani si watu,pikpik,basikeri,gari binafsi,dala yaani mmmh jamani sio mtiti huu. Janani tusome kitabu cha mwl Nyerere tujitafakari

Miaka flan nikitoka kweny mishe nikapanda pantoni, nikamuona mkuu wa mkoa miaka hiyo mzee yusuph makamba, mzee makamba kama unasoma Uzi huu ile miaka unatembea kwenye nyomi ya wa wananchi sio hii, hapa wameongezeka bodaboda, hawa wanafujo yaani wao ni kama sio viumbe wa Dunia hii, yaani hawajali kifo. Sasa mzee waambie wenzio hiking kizazi kikija kutaka tufufue makaburi, hakikiwha la kwako Lina zege
Hueleweki we fala.
 
chumvi na porojo nyiiiiingi, halafu kapointi kadunchuuuu... hata hakaonekani vizuri yaani 🐒
 
Ukitaka kuona kila Aina ya watu Nenda kariakoo.
 
Nyuzi za kkoo zimekuwa nyingi leteni na za Tandika sasa..!!
 
Ndo maana nlitafuta frame kinondoni, k.koo uwanja wa fujo
 
Walugaluga mmetuharibia mji, ni wakati muafaka sasa mrudi kwenu maporini

Before
1780959588938.png

Then

1780959669302.png

Now

1780959816006.png
 
Back
Top Bottom