Hahahanikashuka karume saa Moja na nusu jioni salale hata bolt zinacancell, yaani si watu,pikpik,basikeri,gari binafsi,dala yaani mmmh jamani sio mtiti huu
Hapana bro pana kera sana, utakuta gari imeziba mtaa, ikiwhusha mzigo, yaan kama sio boda wenfine kariakoo tusingegusa, ajabu mtu anapaki boda njiani. Huwez pita. Ukiachulia mbali uchafu wa mitaa, ina msongamano.wa hatariShida nini kiongozi umeibiwa au vipi?sema Kariakoo pa hovyo kweli.Ukitaka kujua pa hovyo angalia yani umeeleza tu route zako za leo lakini sioni ni kivipi Kariakoo ni kama jehanamu
Kuhusu kuibiwa kariakoo niliibiwa mwaka 2000 nikiwa nimevaa kaputula wakachojian2000 yangu, muliize mtu miaka hiyo 2000 ilikuwa na thamani kias gani, nilipagawa nilipagawaShida nini kiongozi umeibiwa au vipi?sema Kariakoo pa hovyo kweli.Ukitaka kujua pa hovyo angalia yani umeeleza tu route zako za leo lakini sioni ni kivipi Kariakoo ni kama jehanamu
Nimekupata kaka.Sema kama uchafu mbona Dsm yote chafu tu au uchafu unategemea eneo na eneo.Sema kwa Dsm wameshachemka naomba haya makosa yasijurudie Dom maana ndio inaweza kuwa promising city kwa TzHapana bro pana kera sana, utakuta gari imeziba mtaa, ikiwhusha mzigo, yaan kama sio boda wenfine kariakoo tusingegusa, ajabu mtu anapaki boda njiani. Huwez pita. Ukiachulia mbali uchafu wa mitaa, ina msongamano.wa hatari
Hueleweki we fala.Kariakoo sio sehemu salama. Wengi mnapasifu mnapata vihela ila ni sehemu hatari ,is like hell,Haina usalama kiafya,kiuhai kikila kitu.
Yaani kama ndio sehemu tunajivunia! We are done. Leo nikiwa naungaunga daladala kikaishia buguruni, nikaunga tena daladala lingine la mnazi, nikashuka karume saa Moja na nusu jioni salale hata bolt zinacancell, yaani si watu,pikpik,basikeri,gari binafsi,dala yaani mmmh jamani sio mtiti huu. Janani tusome kitabu cha mwl Nyerere tujitafakari
Miaka flan nikitoka kweny mishe nikapanda pantoni, nikamuona mkuu wa mkoa miaka hiyo mzee yusuph makamba, mzee makamba kama unasoma Uzi huu ile miaka unatembea kwenye nyomi ya wa wananchi sio hii, hapa wameongezeka bodaboda, hawa wanafujo yaani wao ni kama sio viumbe wa Dunia hii, yaani hawajali kifo. Sasa mzee waambie wenzio hiking kizazi kikija kutaka tufufue makaburi, hakikiwha la kwako Lina zege
chumvi na porojo nyiiiiingi, halafu kapointi kadunchuuuu... hata hakaonekani vizuri yaani 🐒Kariakoo sio sehemu salama. Wengi mnapasifu mnapata vihela ila ni sehemu hatari ,is like hell,Haina usalama kiafya,kiuhai kikila kitu.
Yaani kama ndio sehemu tunajivunia! We are done. Leo nikiwa naungaunga daladala kikaishia buguruni, nikaunga tena daladala lingine la mnazi, nikashuka karume saa Moja na nusu jioni salale hata bolt zinacancell, yaani si watu,pikpik,basikeri,gari binafsi,dala yaani mmmh jamani sio mtiti huu. Janani tusome kitabu cha mwl Nyerere tujitafakari
Miaka flan nikitoka kweny mishe nikapanda pantoni, nikamuona mkuu wa mkoa miaka hiyo mzee yusuph makamba, mzee makamba kama unasoma Uzi huu ile miaka unatembea kwenye nyomi ya wa wananchi sio hii, hapa wameongezeka bodaboda, hawa wanafujo yaani wao ni kama sio viumbe wa Dunia hii, yaani hawajali kifo. Sasa mzee waambie wenzio hiking kizazi kikija kutaka tufufue makaburi, hakikiwha la kwako Lina zege
PointNimesoma mada ila bado sijaona point ya msingi
Next time aende na range lake 😎Point
Kaunga unga daladala
Miaka fulani alipanda pantoni