Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You are right mkuuSio Afrika Mashariki. Nenda pale National Defence College maeneo ya Kunduchi Mtongani, waulize wanachuo hasa toka nje ya Tanzania, kama ukanda wa East, Central & South Afrika kama kuna CBD (Central Business District) inayoizidi Kariakoo!?
Bazazi
Baadhi ya Hotels maeneo ya Kariakoo
Baadhi ya Hotels maeneo ya KariakooView attachment 1184251View attachment 1184252View attachment 1184253View attachment 1184254View attachment 1184255View attachment 1184256View attachment 1184262View attachment 1184265View attachment 1184271View attachment 1184271View attachment 1184273View attachment 1184274View attachment 1184275View attachment 1184276View attachment 1184277View attachment 1184278View attachment 1184279View attachment 1184280View attachment 1184281View attachment 1184282View attachment 1184283
Kuna renders za kufa mtu hapaTatizo Watanzania mna hulka ya kukusanyika kwenye kitu kimoja, hamjui jinsi gani ya kufanya diversification kama sisi. Hapa Kenya tuna business centres nyingi ambazo kuna uhuru wa kuchagua. Nyie hiyo Kariokoo barabara moja tu ile ya Uhuru basi, pachafu na pamejaa ujanja ujanja tu halafu mnakusanyika nyote humo.
Ona vitu vya Kenya.... vitu largest in East and Central Africa
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Jamaa kachanganyikiwa.Business centre uyu jamaa yeye analeta mall hahaha karikaoo ward yote iko busy sasa yeye analeta mall mbili tatu za kazi gani
Sasa utapost mall ngap imalizane na iyo ward? View attachment 1184569
Inatoa tax kiasi gani Kwa serikali?Business centre uyu jamaa yeye analeta mall hahaha karikaoo ward yote iko busy sasa yeye analeta mall mbili tatu za kazi gani
Sasa utapost mall ngap imalizane na iyo ward? View attachment 1184569
Kariakoo kuna vyumba zingine za mabati na watu wengi sana wanauza kwa barabara hakupitiki na pia kuchafu sana sana.Sasa mnaleta picha tu za mijigorofa mnaacha kule kubaya na kuchafu zaidi ili kuhadaa waKenya .Business centre uyu jamaa yeye analeta mall hahaha karikaoo ward yote iko busy sasa yeye analeta mall mbili tatu za kazi gani
Sasa utapost mall ngap imalizane na iyo ward? View attachment 1184569
Hii picha ni kuhadaa watu nyie.Kariakoo huko Dar ya kweli ni ile wachuuzi wengi zaidi wanauza barabarani ,msongamano na uchafu umejaa na vyumba vingine ni mabati zimechakaa kweli kweli.Hii picha hapa juu watanzania wengi hawawezi kwenda pale they can't afford that side of Kariakoo.Tofautisha kati ya malls na business centre, Kariakoo ni business centre, wanunuzi tofauti tofauti kuanzia wa hali ya chini hadi wale wakubwa.
Kenya ni nchi ya kibepari haiwajali kabisa watu wa hali ya chini, hayo mapicha hapo yanaonyesha sehemu za kipato cha kati na juu, mkenya wa hali ya chini hawezi kwenda hapo na kuanza kuuza mitumba.
Katika vigezo vinavyoifanya Tanzania kuongeza katika "Economic inclusive index" na Kenya kuendelea kuburuza mkea ni pamoja na hili.