Karibia nakuwa kibogoyo

dfreym

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2010
Posts
342
Reaction score
87
Jamani wana jf doctor nisaidieni nisijekuwa kibogoyo.

ninatatiza la fizi kutoka damu hasahasa ninapopiga au nikiyanyonya mate kwanguvu mswaki.

pia meno yangu yoote ya sebuleni (ya mbele) yanatikisika mmno kiasi siku nikijichanganya tu na kumchokoza bansa aka ni pa! mdomoni
yote naya tema.

yani yanatikisika mno kiasi hata nikitumia nguvu kungoa yanatoka.
halafu yanauma. nisaidieni jamani.
 
Chunguza miswaki unayotumia, mingine ni migumu inakwangua.
Usile vitu vigumu vitakavyokubidi ung'ate eg muwa.
Angalia na dawa za mswaki unazotumia.
Mswaki nashauri utafute wisdom halafu dawa nunua ile ya forever living product.
Pole ila uende kwa dentist.
 
chukua hiyo sentensi yako nyekundu hapo halaf changanya na kutoka ma damu midomoni na kaulizie namna ya ukimwi unavyoambukizwa uswahilini halaf rudi kwenye post No.2 by klorokwini katika hii sredi. can you feel the great thinking now?
 
kuna siku nitakuja na brifkesi yangu ya afya ndio mtaelewa kwanini nimeuliza hivyo. unajua greti thinkaz tupo wachache sana hapa JF, hata 10 hatufiki.

wapo 10.5 mhadhiri wangu wewe ndio wa point five. Ha ha ha!
Fanya haraka nakusubiri kwenye kipindi.
 
chukua hiyo sentensi yako nyekundu hapo halaf changanya na kutoka ma damu midomoni na kaulizie namna ya ukimwi unavyoambukizwa uswahilini halaf rudi kwenye post ya pili ya klorokwini katika hii sredi. can you feel the great thinking now?

khaaa!
Kwahiyo uswazi wana namna zao tofauti za kuambukizwa ukimwi.
Lol!
Haya mpe klorokwin na asprin huyo mgonjwa apone.
 
khaaa!
Kwahiyo uswazi wana namna zao tofauti za kuambukizwa ukimwi.
Lol!
Haya mpe klorokwin na asprin huyo mgonjwa apone.
acha niishie hapa. nikiendelea na darasa hapa nitaharib kibarua cha Dr Ndodi
 
Pole sana mkuu.

Uwezo hupo mkuu wa kuokoa meno yako ufanye maamuzi haraka sana.


Nenda kwa daktari wa meno wa safishe meno.unatoka damu kwa vile fizi zako azipumui na zimevimba.unatakiwa kwenda kwa daktari wa meno kusafisha japo mara moja kwa mwaka.

Baada hapo wewe binafsi inabidi upige mswaki mara mbili kwa siku kila baada ya mlo tumia mswaki laini.tumia mswaki wako laini kukanda fizi zako taratibu kila ukipiga mswaki.kitu kingine muhimi ni kutoa vyakula vilivyo nasa kati kati ya meno (flossing).kwa vile fizi zimevimba kwa sasa inabidi baada ya yote hayo huwe unasukutua na maji ya chumvi ya vugu vugu kila baada kupiga mswaki.piga mswaki kabla kwenda kulala na usile kitu kingine unaweza kunywa maji.


Ukifatisha yote hayo mkuu na atakayoongezea daktari wa meno hutopoteza meno yako na wala kuona tone la damu wakati wa kupiga mswaki.
 
Wakuu tumsaidie.
Huyu atakua amekosa vitamini flani na sio hayo maukimwi yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…