Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hii sio habari ya udaku.
Ni habari ambayo kila mwenye akili timamu anaweza kuihakiki.
Huko vijijini wawekezaji (wachimbaji) kutoka Asia hasa wachina wametapakaa wakichimba madini.
Kama mjuavyo Wachina walivyo na akili, Mchina anajua madhaifu ya Mtanzania, kuwa ukimwekea pesa kwenye bahasha tu umemfunga kinywa mpaka mikono na miguu. Unaweza kumpa eneo la hekari 5 yeye akajimilikisha hekari 15 zenye madini.
Ukampa kibali cha kuchimba dhahabu yeye akachimba rubi n.k
Ninahisi hawa wachina wametumwa na Taifa lao , serikali huwapa pesa vikundi vikundi na kuwapigania vibali nchi mbalimbali za Afrika ili wakusanye madini.
Viongozi msilale, amkeni.