CHRISTURKER
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 267
- 55
dawa zako kibokoMkuu.@CHRISTURKER mwambie huyo bint kila siku anapoamka Asubuhi kabla kupiga mswaki akinge mkojo wake mwenyewe kwa kipimo cha kiasi awe anasukutuwa mdomoni kwa dakika kama 5 kisha ateme huo mkojo wake na akae kama dakika 10 kisha anaweza kupiga mswaki afanye hivyo kwa muda wa siku tatu hiyo itamsaidia meno kusimama kuuma na kung'oka Mwambie afanye hivyo kisha njoo hapa utupe Feedback.
Ushauri mwingine , balaaaaaaaaaaaaa!Mkuu.@CHRISTURKER mwambie huyo bint kila siku anapoamka Asubuhi kabla kupiga mswaki akinge mkojo wake mwenyewe kwa kipimo cha kiasi awe anasukutuwa mdomoni kwa dakika kama 5 kisha ateme huo mkojo wake na akae kama dakika 10 kisha anaweza kupiga mswaki afanye hivyo kwa muda wa siku tatu hiyo itamsaidia meno kusimama kuuma na kung'oka Mwambie afanye hivyo kisha njoo hapa utupe Feedback.
Mkuu georgeallen Dawa hiyo sio ushauri balaa kila maradhi yana dawa yake isipokuwa ni kifo hakina Dawa na maradhi ya Uzee hauna dawa.Ushauri mwingine , balaaaaaaaaaaaaa!
Bibie kisukari Dawa zangu nimesha sema ni za kizamani sana miaka 1500 iliyopita. Tiba Mbadala huwezi kuzipata kwenye vitabu vyovyote vile vya kisasa nimesha mpa mtu mmoja ushauri huo akafanya sasa ni miaka 3 hajauguwa maradhi ya jino.Ukiweza jaribu utaona mafanikio ya Dawa zangu.dawa zako kiboko