Karibu anakuwa kibogoyo

Karibu anakuwa kibogoyo

CHRISTURKER

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
267
Reaction score
55
Ameshangolewa Meno saba hadi sasa, ni binti tu wa Miaka 25.Jamani wadau saidieni kumshauri hapa dawa gani sasa apate ili yasiendelee kumwuma hatimaye kung'olewa.
 
Mkuu.@CHRISTURKER mwambie huyo bint kila siku anapoamka Asubuhi kabla kupiga mswaki akinge mkojo wake mwenyewe kwa kipimo cha kiasi awe anasukutuwa mdomoni kwa dakika kama 5 kisha ateme huo mkojo wake na akae kama dakika 10 kisha anaweza kupiga mswaki afanye hivyo kwa muda wa siku tatu hiyo itamsaidia meno kusimama kuuma na kung'oka Mwambie afanye hivyo kisha njoo hapa utupe Feedback.
 
dawa zako kiboko
 
Ushauri mwingine , balaaaaaaaaaaaaa!
 
dawa zako kiboko
Bibie kisukari Dawa zangu nimesha sema ni za kizamani sana miaka 1500 iliyopita. Tiba Mbadala huwezi kuzipata kwenye vitabu vyovyote vile vya kisasa nimesha mpa mtu mmoja ushauri huo akafanya sasa ni miaka 3 hajauguwa maradhi ya jino.Ukiweza jaribu utaona mafanikio ya Dawa zangu.
 
Back
Top Bottom