Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Ndiyo Maalim Anna kutoka Tandale kwa Mfuga Mbwa. Niambie mtoto mzuri.Nabii Chiz Maarifa kutokea UYOLE
Ndiyo Maalim Anna kutoka Tandale kwa Mfuga Mbwa. Niambie mtoto mzuri.Nabii Chiz Maarifa kutokea UYOLE
dah sijajuaHivi kahawa ilikuwepo
Maneno ya Mungu au wanywa kahawa jibu swali?Hata kama ni ya wanywa kahawa tunaridhika na kuyaamini kuwa ni ya Mungu na tunaishi nayo kama muongozo wa kiroho. Unasemaje kuhusu katiba za nchi hutungwa na nani? Huoni kuwa watunga katiba nao ni watu wa hovyo kuliko hata hao unaowaita ni wanywa kahawa? Vipi kuhusu kitabu cha imani ya kobazi nani kakitunga? Muachage kuchalenji imani za watu kama hamziamini, acheni hao wanaoamini waendelee kuamini tumaini lao maishani