AUTOMASI COMPANY LIMITED
Member
- Mar 22, 2016
- 45
- 25
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah now kuipata Dualis inabidi uwa na 20 kuendelea inategemea na mwaka.Kumbe Dualis imesimamia ukucha kwenye bei! Nakumbuka wakati dada mmoja anainunua miaka ile haijajulikana hapa, alichukua kwa 20m, kipindi Juke ndo inatamba kwa 24.
Mi nataka ya kulenga... budget 16MYeah now kuipata Dualis inabidi uwa na 20 kuendelea inategemea na mwaka.
Tuwasiliane whatsapp boss 0685 566 368Mi nataka ya kulenga... budget 16M
Subaru unapata kwa 26 mil 2011 modelNaomba bei ya subaru forester new model(a.k.a dulla makabila)
Kwa msaada zaidi na picha waweza tucheki whatsapp 0685 566 368Naomba bei ya subaru forester new model(a.k.a dulla makabila)
Gari za Nissan unatakiwa kuweka oil yake elekezi ukichanganya tu na oil zingine tofauti lazima engine itasumbua watu wengi ili wanalikosea mwisho ndio wanasema Nissan zinasumbua.Nasikiaga zinazinguaga engene
Kweli kabisa mkuu..... wanaweka ma OryxGari za Nissan unatakiwa kuweka oil yake elekezi ukichanganya tu na oil zingine tofauti lazima engine itasumbua watu wengi ili wanalikosea mwisho ndio wanasema Nissan zinasumbua.
kluger ya mwaka 2005 kwenda juu black inapatikana kwa ngapi?Subaru unapata kwa 26 mil 2011 model
Kluger utapata kwa 27 mil kwa msaada wa picha na maelezo zaidi tafadhali tucheki whatsapp kwa namba : 0685 566 368kluger ya mwaka 2005 kwenda juu black inapatikana kwa ngapi?
Kluger utapata kwa 27 mil kwa msaada wa picha na maelezo zaidi tafadhali tucheki whatsapp kwa namba : 0685 566 368kluger ya mwaka 2005 kwenda juu black inapatikana kwa ngapi?
Yes mkuu chamsingi kuzingatia services kwa wakati , karibu sana Automasi Company Limited.Kweli kabisa mkuu..... wanaweka ma Oryx
zjpo njoo uchagueMi nataka ya kulenga... budget 16M
Mkuu wengi humu JF wanaodiscuss kuhusu Magari hawana Magari, so usipoteze Muda kubishana nao.Dualis iko very economic boss wangu iyo 13 km kwa urban inafika and highway ni zaidi ya hapo