AUTOMASI COMPANY LIMITED
Member
- Mar 22, 2016
- 45
- 25
- Thread starter
-
- #61
Hatufanyi exchange Boss wangu ni Cash pekee.Nataka Toyota Rush ila hiyo nusu sina cash ila nakupeni Carina nomba CUS pia nataka huo mkopo niulipe kwa mwaka mmoja na sio miezi 6 je inawezekana?
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
carina?alafu unatumia tecno,alafu upewe mwaka?Nataka Toyota Rush ila hiyo nusu sina cash ila nakupeni Carina nomba CUS pia nataka huo mkopo niulipe kwa mwaka mmoja na sio miezi 6 je inawezekana?
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Sasa sio bodaboda kama tunataka gari tunafanyaje au na huku napo hatukopeshekiHii ni bonge moja la fursa ambayo hautakiwi kukosa!
kwani imekaaje hii???
Njoo nikupereke taratibu,
Moja: Unahitajika kuwa na 60% pekee ya gharama ya gari, mfano kwa Toyota Ist ya shilingi milioni 14, utahitajika kuwa na milioni 8 na laki 4. ambapo sisi tutaagiza gari, kulilipia kodi, na kufanyia usajili (usajili utakuwa kwa majina yako).
Pili: Je, ni kwa wafanyakazi tuu? Jibu ni hapana, ni kwa mtu yoyote mwenye chanzo cha kipato ( yaani mfanyabiashara au mfanyakazi, au mjasiriamali)
Tatu: Ninahitajika kuwa na nini?
Mahitaji
1. Bank statements miezi sita/ miamala ya simu
2. Kama mfanya biashara Nyaraka zako za biashara e.g..leseni ya biashara na TIN
3.kama mfanyakazi mkataba wako wa kazi na salary sleep ya miezi mitatu
4.copy ya kitambulisho chako
5. Copy ya kitambulisho cha mtu wako wa karibu
6.Picha nne za passport size
7.Barua ya utambulisho wa serikali za mitaa( Proof of residence)
Nne: Riba yenu ikoje? riba ni 3.5% ya gharama yote ya mkopo (mfano kwa muda wa miezi sita Toyota Ist ya 14mil, wenye mkopo wa 5.6mil utarejesha JUMLA ya 6.88mil ambayo ni sawa na 1.28mil)
Tano: Marejesho yangu naanza lini? Marejesho utaanza mwezi mmoja baada ya kupokea gari lako.
Sita: itachukuwa muda gari mpaka kupokea gari langu? utafuata utaratibu wa kawaida wa kuagiziwa gari ambao ni siku 35 mpaka siku 45 mpaka kupokea gari lako.
Je, unaswali lolote ungependa kuuliza zaidi?
AUTOMASI COMPANY LIMITED tunasema, KARIBU TUKUHUDUMIE
MILIKI GARI KWA MKOPO NA AUTOMASI COMPANY LIMITED
HIGH QUALITY, RELIABLE & SPEED
Call/Whatsapp : 0685 566 368
Tuna deal na magari tu BossSasa sio bodaboda kama tunataka gari tunafanyaje au na huku napo hatukopesheki
Ndio nasema mie ni bodaboda nataka mkopo wa gari. Sasa sina salary slip so inakuwajeTuna deal na magari tu Boss
Wewe ni mfanyabiashara mzuri lkn unakuwaga na majibu ya hovyo sana hadi sio pia😁😁carina?alafu unatumia tecno,alafu upewe mwaka?
Ok, unaweza kupata mkopo boss kupitia iyo iyo bishara yako unayofanya.Ndio nasema mie ni bodaboda nataka mkopo wa gari. Sasa sina salary slip so inakuwaje
Kwa sasa tupo Dar pekeeOfisi zenu ziko dar peke au na mikoa gani??
Wabongo bwana kwa kuwa Tecno zilianza kuuzwa Africa mnazidharau ila Samsung kwa kuwa zilianza kuuzwa ulaya ndio mnaziheshimu maana yake hapo sio kama mnazidharau tecno ila mnajidharau wenyewe alafu wazungu wakikuiteni manyani mnakasirikacarina?alafu unatumia tecno,alafu upewe mwaka?
Mkuu Toyota prius bei yake ipoje?Kwa sasa tupo Dar pekee
Toyota Prius utapata kwa TZS 19 Mil Boss wangu.Mkuu Toyota prius bei yake ipoje?