Karibu Autorex Garage Iringa

Karibu Autorex Garage Iringa

Joined
Jun 21, 2021
Posts
29
Reaction score
23
20240331_182805.jpg
IMG_20240405_112543_498.jpg
20240407_125326.jpg
n
20240331_175112.jpg
Habari zenu wakuu kwa aliepo iringa au kama unatarajia kufika iringa. Nakukaribisha autorex garage iringa napatikana Mshindo jilani na benki ya NBC. Huduma zinazo patikana
●Oil change
●kuziba pancha
●kujaza upepo
●kubadilisha matairi

Na matengenezo mengine ya gari yako
0755539092
0788887129
 

Attachments

  • 20240407_162344.jpg
    20240407_162344.jpg
    2.3 MB · Views: 2
Uko jirani n mtaalamu anayetengeneza zile bush za tairi? Nipo Dabaga huku, aisee gari inagonga balaa. Nataka kufunga bush zote muhimu, ili niendelee kupambana na hizi barabara za huku.
 
Back
Top Bottom