Karibu baby sis

Ww unapenda kumzingua dada angu 🀣🀣🀣
hapana siwezi mzingua mpendwa huyu katika familia ya Mungu, ni muungwana na mnyenyekevu sana kwangu na kwa wengine pia, ni neema ya kipekee sana hiyo. na kwakweli napata nguvu sana za kumuombea kila wakati...
 
Mmh. Naogopa kusema ulikuwa fungate na" K" ukatuuza. Kaka yako @ Zulu man anajua. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
Sijawauza jamani, msijali wote nawahakikishia warembo wenu watarudi kwenu!!!
Naenda kuwachomoa mmoja mmoja kwa hao wezi wa wake za watu.!! Wenzao wanaokota magari, wao wako busy kuvizia wake za watu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Usafi ni jmosi ya mwisho ya mwezi tunajua, kesho ni maandamano πŸ˜‚
ngoja nizame kwa maombi kwanza, halafu nizoom hali ya maandamano itakuaje katika ulimwengu wa roho kisha nitoe ushauri
 
hapana siwezi mzingua mpendwa huyu katika familia ya Mungu, ni muungwana na mnyenyekevu sana kwangu na kwa wengine pia, ni neema ya kipekee sana hiyo. na kwakweli napata nguvu sana za kumuombea kila wakati...
Sisy Joannah
 
🀣🀣🀣🀣
Wewe sasa usharudi
 
Sijawauza jamani, msijali wote nawahakikishia warembo wenu watarudi kwenu!!!
Naenda kuwachomoa mmoja mmoja kwa hao wezi wa wake za watu.!! Wenzao wanaokota magari, wao wako busy kuvizia wake za watu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hahahaahaaa. Eti mtu ameokota gari kwenye mafuriko. Kuna vituko
 
Faidika na darsa la FaizaFoxy:

Kwa msamiati wa "slang" wa Kingereza "sissy" ni mwanamme mwenye mambo ya kidada (shoga).

Hapa unamuongelea mdogo wako wa kiume ambae ni "sissy"? Au wa kike ambae ni "sis"?
Sikuwahi kujua hili kama sissy na sis ni maneno mawili yenye maana tofauti ,
Bahati nzuri huwa silitumii hili neno,
Nikitumia naandika kwa kirefu" Sister".

Kumbe huwa tunaenda chaka na hatujui!
 
Sikuwahi kujua hili kama sissy na sis ni maneno mawili yenye maana tofauti
Bahati nzuri huwa silitumii hili Neno,
Nikitumia naandika kwa kirefu Sister.

Kumbe huwa tunaenda chaka na hatujui!
Wizoooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…