stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Kwamba sisy yake ni Shoga yake Si mnapenda kuitana Shoga nyinyi ukimuona Mwanamke mwenzio unamuita Shoga yangu nikuambie au siku hizi mmeacha kuitana mashoga?Huwa sikisii.
Naona moderator kakurekebishia bichwa lako la habari. Kaona nilichokiona.
Wacha ubishi karekebishe post yako namba 1.
Hata ukisikiliza Taarabu za zamani mlikua mnaimbana Shoga sijui nini na nini sikiliza usikie